OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii ni heshima kubwa kwa club yangu Simba SC. Simba sio club ya vichochoroni mpaka mipango yake ivuje kwenye vijiwe vya kahawa.
Sajili zote maingizo mapya hakuna uliovuja. Beki wa Singida United hata tetesi tu hazikuwahi kupatikana achilia mbali wale maproo kutoka Brazil na Sudan.
Imefikia kipindi media zimekubali yaishe nazo zinasubiri saa 7 mchana,na sio kuvujisha sajili kama kipindi kilichopita. Kifupi wamekuwa wapole.
Simba ni taasisi kubwa.