Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
mh! kazi tunayo kweli wazazi hivi vyuo vya akina shigongo hivi vitatuua kwa kweli! kumbe inambidi aanze upya tena!...mpaka presha inapanda na kushuka!hawezi munama,hadi ajiandikishe upya kwenye chuo kilichosajiliwa na nacte.
Wadau naomba msaada wa kimawazo,
Katika hali ya kutapatapa mwanangu kasomea certificate kwenye chuo fulani ivi ila baada kumaliza kapewa cheti kinachoonesha kuwa chuo hicho kimesajiliwa na veta. sasa je anaweza kwenda kusomea diploma kwenye vyuo wanavyohitaji awe na certificate ya chuo kinachotambulika na Nacte?
msaada kwenye tuta tafadhali!
ni kweli kabisa ndugu yangu...eti global college,vyuo vya shigongo! wizi mtupu!huwezi. Hivyo vitakua vyuo vya gorofa ya tatu
mh! hapo kazi ipo kweli. short cut inakuwa long cut!tatizo le2 wa tz 2napenda short cut ila chuo cha veta n kama elimu kwa vitendo vinavyo muandaa mwanafunzi kukabiliana na changamoto za maisha mara nyingi ni shughuli za ujasiria mali hufundishwa hivyo humuandaa mtahiniwa kwa ajili ya kazi na sio elimu chamsingi hapo aende kwenye vyuo vya kati aanze na cheti kwa mwaka m1 kisha ataendelea na mengine
Wadau naomba msaada wa kimawazo,
Katika hali ya kutapatapa mwanangu kasomea certificate kwenye chuo fulani ivi ila baada kumaliza kapewa cheti kinachoonesha kuwa chuo hicho kimesajiliwa na veta. sasa je anaweza kwenda kusomea diploma kwenye vyuo wanavyohitaji awe na certificate ya chuo kinachotambulika na Nacte?
msaada kwenye tuta tafadhali!
alisoma miezi 9 akapewa cheti kimeandikwa advanced certificate in clearing and fowarding halafu kwenye cheti wameandika kuwa wako certified by veta! nisaidie namna ya kufanya tafadhali maana nilidhani angeenda kusoma diploma baada ya hayo masomo yake ya certificate.Je kozi aliyosoma ni ya muda gan?wik,mwezi,miezi 3-6, mwaka au miaka mingapi?nijibu tafadhali,Nikupe jibu sahihi