naomba mwenye uelewa, ninahitaji kumpeleka mwanangu chuo flani dar, wao wanasema wapo registered na NECTA but ktk tovuti ya NECTA kuna list ya registered college 20 tu, but kila siku vyuo hivyo tunavion aktk matangazo, sasa hapo tabu ni NECTA au hivyo vyuo vinachakachua? isije poteza hela yangu kumbe hakitambuliki, japo inaudhi anyway watu hawatendi wajibu wao!
c o necta,ni nacte,kitaje hicho chuo!