usajili wa vyuo na NECTA

usajili wa vyuo na NECTA

RealTz77

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Posts
738
Reaction score
41
naomba mwenye uelewa, ninahitaji kumpeleka mwanangu chuo flani dar, wao wanasema wapo registered na NECTA but ktk tovuti ya NECTA kuna list ya registered college 20 tu, but kila siku vyuo hivyo tunavion aktk matangazo, sasa hapo tabu ni NECTA au hivyo vyuo vinachakachua? isije poteza hela yangu kumbe hakitambuliki, japo inaudhi anyway watu hawatendi wajibu wao!
 
naomba mwenye uelewa, ninahitaji kumpeleka mwanangu chuo flani dar, wao wanasema wapo registered na NECTA but ktk tovuti ya NECTA kuna list ya registered college 20 tu, but kila siku vyuo hivyo tunavion aktk matangazo, sasa hapo tabu ni NECTA au hivyo vyuo vinachakachua? isije poteza hela yangu kumbe hakitambuliki, japo inaudhi anyway watu hawatendi wajibu wao!

NECTA-National Examination Council of Tanzania

Their Functions:

  • To formulate examinations policy in accordance with the principles of education for self reliance and the education and training policy;
  • To ensure responsibility for examinations within the United Republic of Tanzania and to make provision for places and centres for examination;
  • To receive from other persons or bodies of person reports or other material affecting examinations policy and from from time to time to consider and review examinations policy as circumstances mey require;
  • To co-operate with other persons or bodies of persons in the orderly development of an examinations system in the United Republic of Tanzania;
  • To conduct examinations for, and to grant, diplomas, certificates and other awards of the the council;
  • To act as the body which shall facilitate, administer and supervise foreign examinations in Tanzania.

NACTE-National Council for Technical Education

Their Functions:

  • Ensure overall coordination of technical education and training;
  • Establish a national system of awards;
  • Ensure the relevance of technical education and training to labour market demand;
  • Institute systems of quality control and quality assurance in technical education and training;
  • Register and accredit both public and private technical education and training institutions capable of delivering courses; and
  • Establish a central database on technical education and training.

Kwa hiyo kama unazungumzia Registration ya chuo, utakuwa unamaanisha NACTE, kama unazungumzia shule ya sekondari utakuwa unamaanisha NECTA! All in all, do not rely on any of their websites info. zina nadra-updates. Usajili wa vyuo siku hizi unaenda kimazabemazabe sana, kuna "vyuo" vimesajiliwa, vinatoa diploma (na hata degree!) wakati vimejaza walimu wenye diploma (tena wa kuazima!), angalia utaibiwa-kuna ngazi mbalimbali za usajili!!!! Waambie wakupe reg. namba yao, kisha piga NACTE uulizie! Borra umpeleke mtoto katika chuo kinachoeleweka!
 
Back
Top Bottom