Usajili wa wazo la biashara

Usajili wa wazo la biashara

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
Wakuu ni taasisi gani inayohusika na kusajili mawazo mapya ya biashara ...nina idea yangu ambayo ni mpya kabisa naataka niisajili lisije kuibiwa
 
Tena wakiona wazo linalipa utashangaa jinsi mtu atakavyojifanya yeye ndo kaliunda hilo wazo. Mnaojua wapi pa kusajii njooni jamvini!!
 
Lifanyie kazi au nenda un ukasajili bongo liki liki tu imekula kwako
 
Mhhh chezea wabongo? Gusia kidogo tuu hlo wazo lako uwone kinachotokea even hapa jf, nenda UN upate hatimiliki kama unasema kweli na huzngui
 
Usajiri wazo ili iweje? kinacho takiwa ni kufanyia kazi wazo lako na si kusajiri likae tu, Kuwa na wazo la biashara jata kama lingekuwa bora kiasi gani hutaonekana wa maana, Ila utakapo liweka kwenye practicla hapo ndo utaonekana, Watu wengi wamekuwa hadi wanafariki na mawazo yao ya biashara kila mtu anakuambia anawazo la biashara.

Mkuu practise hilo wazo lako na by the way mawazo ya biashara sio siri ila siri waga iklo kwenye techinic isues, kuna mawebsite ukiingia utakuna na mawazo ya biashara ya kufa mtu na yako open tu kwa kila mtu kufanya.
 
Mhhh chezea wabongo? Gusia kidogo tuu hlo wazo lako uwone kinachotokea even hapa jf, nenda UN upate hatimiliki kama unasema kweli na huzngui

Sio kweli, kuna mitandao kibao inayo endesha mashindano ya business planing ukiingia huko kuna mawazo ya biashara ya kufa mtu, Mawazo ya biashara huwa mara nyingi yanafanana ila kuna vitu vya kiufundi hutofautiana. Cheki mfano wa simu,

Mbona huwa watu wanaenda kupresent Idea zao?
 
Asanten wakuu it seems kusajili wazo ni inshu ....wazo langu ni jipya kabisa na km Kuna watu walishalifanyia kazi cyo bongo labda mbele ila kuwen na subira Kuna cku ntalianika hapa
 
Asanten wakuu it seems kusajili wazo ni inshu ....wazo langu ni jipya kabisa na km Kuna watu walishalifanyia kazi cyo bongo labda mbele ila kuwen na subira Kuna cku ntalianika hapa

mtaji unao?
 
Back
Top Bottom