Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh chezea wabongo? Gusia kidogo tuu hlo wazo lako uwone kinachotokea even hapa jf, nenda UN upate hatimiliki kama unasema kweli na huzngui
Asanten wakuu it seems kusajili wazo ni inshu ....wazo langu ni jipya kabisa na km Kuna watu walishalifanyia kazi cyo bongo labda mbele ila kuwen na subira Kuna cku ntalianika hapa
actually hii idea haihitaji mtaji. Zaid ya hela ya kulipia ofc