Usajiri wazo ili iweje? kinacho takiwa ni kufanyia kazi wazo lako na si kusajiri likae tu, Kuwa na wazo la biashara jata kama lingekuwa bora kiasi gani hutaonekana wa maana, Ila utakapo liweka kwenye practicla hapo ndo utaonekana, Watu wengi wamekuwa hadi wanafariki na mawazo yao ya biashara kila mtu anakuambia anawazo la biashara.
Mkuu practise hilo wazo lako na by the way mawazo ya biashara sio siri ila siri waga iklo kwenye techinic isues, kuna mawebsite ukiingia utakuna na mawazo ya biashara ya kufa mtu na yako open tu kwa kila mtu kufanya.