Usajili wa Yanga ni mbwembwe hamna kitu

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Mwaka juzi na jana walifanya hivi hivi,yaani hawa majamaa ni utopolo original ,wanawaacha wachezaji 16 na kusajili wengine halafu mpaka wazoeane msimu umeshaisha then waje kusingizia simba inabebwa na TFF,kama siyo akili za kinyani basi ni zinjatropus, usajili unafanywa bila kocha mkuu ,kampuni inayowadhamini, GSM ndo inasajili na siyo benchi la ufundi,halafu baadaye wanalalamika simba wanabebwa,yaani yanga ni kundi la wahuni ndo maana morison alirekodi video akiwaonyeshea dole la kati,kwa upumbavu mnaofanya itachukua miaka mingi kufanana na simba
 
Utopolo watasuburi sana,tunasema wajinga ndo waliwao mpaka waje washtuke GSM itakua imewafanyia usengenge mwangi
 
Mohamed Dewji ameanza kupunguza wafanyakaz kwenye kampuni zake, analalamika amepata hasara, wana simba anzeni kujiandaa kisaikolojia, muda si mrefu atawaacha
 
Mohamed Dewji ameanza kupunguza wafanyakaz kwenye kampuni zake, analalamika amepata hasara, wana simba anzeni kujiandaa kisaikolojia, muda si mrefu atawaacha

Endelea kuota iko siku utaamka
 
Unamuacha ile beki namba tatu rasta unambakisha Mahadh misimu miwili ajacheza,utopolo mnakwama wapi?

Na mtamkumbuka Sibomana
Nimeshangaa eti Jaffary anaachwa hawa Utopolo hawana akili hata moja
 
Hatugeuki benchi la ufundi ila kwa utopolo mnaofanya baadaye hatutaki yale malalamiko yenu kusema tunabebwa mkishindwa wakati mna kikosi cha laki 5
Mbumbumbu wamegeuka benchi la ufundi la timu ya wananchi
 
Nimesoma uzi na post za mleta uzi nimegundua hamna kingine kinakusumbua zaidi ya wivu tu kwa kile kinachofanywa na Timu ya Wananchi.

Walau ungeandika ulitaka tufanye nini ambacho wewe unakiona kiko sahihi nje ya tunachokifanya sasa ningeona una cha msingi. Ila kwa hizi porojo na kashfa ni dhahiri yanayofanywa na Yanga yanakuumiza mpaka kwenye Mtima.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Mbumbumbu fc punguzeni povu, mbona mnaumia sana.
Hahahaaaa. Hawa ndio waliofanyaga ule msemo wa "pilipili usioila inakuwashia nini" uanzishwe.

Yaani kufanya tunafanya sisi huku wao huko viti havikaliki. Lol.

#Wivumbayasana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…