Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Mwaka juzi na jana walifanya hivi hivi,yaani hawa majamaa ni utopolo original ,wanawaacha wachezaji 16 na kusajili wengine halafu mpaka wazoeane msimu umeshaisha then waje kusingizia simba inabebwa na TFF,kama siyo akili za kinyani basi ni zinjatropus, usajili unafanywa bila kocha mkuu ,kampuni inayowadhamini, GSM ndo inasajili na siyo benchi la ufundi,halafu baadaye wanalalamika simba wanabebwa,yaani yanga ni kundi la wahuni ndo maana morison alirekodi video akiwaonyeshea dole la kati,kwa upumbavu mnaofanya itachukua miaka mingi kufanana na simba