Usajili wa Yanga ni mbwembwe hamna kitu

Usajili wa Yanga ni mbwembwe hamna kitu

Mwaka juzi na jana walifanya hivi hivi,yaani hawa majamaa ni utopolo original ,wanawaacha wachezaji 16 na kusajili wengine halafu mpaka wazoeane msimu umeshaisha then waje kusingizia simba inabebwa na TFF,kama siyo akili za kinyani basi ni zinjatropus, usajili unafanywa bila kocha mkuu ,kampuni inayowadhamini, GSM ndo inasajili na siyo benchi la ufundi,halafu baadaye wanalalamika simba wanabebwa,yaani yanga ni kundi la wahuni ndo maana morison alirekodi video akiwaonyeshea dole la kati,kwa upumbavu mnaofanya itachukua miaka mingi kufanana na simba
Mna wasiwasi ... We can tell.
 
Hahaa yani simba wanavyotokwa povu usajili wa yanga kama vile wana kitu fulani hivi wanahofia
 
Usajili wa Waziri Jr utawasaidia Yanga. Yule jamaa ni striker mzuri.
 
Back
Top Bottom