ππππ nyie Viti maalumu fc bwana dah! Simba ni taasisi kubwa inayoongozwa kisomi.Naona hatuelewani baki na msimamo wako
Simba B ya kukusanywa vijana wakati wa mashindano? Nadhani timu za Kkoo huzijui vizuri Mkuu
Tuna points zetu tatu pale labda kmc ndo mmewabeba,maana bila points zetu Kenya ndo wangepata hiyo fursa na kwa taarifa yako Simba ina mfadhili tu bado si independent institutionππππ nyie Viti maalumu fc bwana dah! Simba ni taasisi kubwa inayoongozwa kisomi.
Nimekujibu kutokana na hili swali lako nitajie mchezaji gani wa Simba B anaokotwagwa mtaani analetwa anacheza?
Unamaanisha nini unapoandika Simba si Taasisi huru? Je kuna watu au Serikali inayofanya maamuzi ya Simba tofauti na Bodi ya wakurugenzi iliyopo kwa mujibu wa katiba?Tuna points zetu tatu pale labda kmc ndo mmewabeba,maana bila points zetu Kenya ndo wangepata hiyo fursa na kwa taarifa yako Simba ina mfadhili tu bado si independent institution
Dripboy unawapoteza hapa point za mashiko ebu kwanza toa 15 point za simba wanaenda wapi na point zao tatu mana simba ahitaji ye ni bingwa ila kuna mtu kazichukua izi alaf mbishiUnamaanisha nini unapoandika Simba si Taasisi huru? Je kuna watu au Serikali inayofanya maamuzi ya Simba tofauti na Bodi ya wakurugenzi iliyopo kwa mujibu wa katiba?
Funguka mtani usiandike tetesi andika ukweli
98!?..kwa hyo ile mwaka 91 wakati said sued 'scud' anawatungua simba mara mbili ulikua hujazaliwa!?Goddamn! Mimi nimeanza kuifatilia Simba mwaka 98 WTF are you talking? I know the whole cunts and good things of Simba.
Na cha kukushangaza I'm not just a shabiki ni mwanachama hai wa Simba sports club
Acha utani soma uelewe, Mwaka 98 ndio rasmi nilianza kujitambu mimi ni nani na kuwa mshabiki wa Simba sasa piga hesabu kama ningekuwa nimezaliwa 1990 hiyo 1998 si ningekuwa na miaka nane tu kwa wakati huo ningewezaje kuwa shabiki wa Simba?98!?..kwa hyo ile mwaka 91 wakati said sued 'scud' anawatungua simba mara mbili ulikua hujazaliwa!?
Ko hapo anayeshauri kupima wachezaji kabla ya kuwasajili na wewe nani ni mbumbumbu?Alowaita hawa jamaa mbumbumbu haKukosea. This is too stupidity. kwann mnateseka guys. Those days mlisema hatuna hela, just a few days mkatoa bokko eti hawanahela ya kuwalipa, leo mnakuja na hoja ya kitoto kabisa kwenye soka la bongo.
by the way tuwadokezeeni tu, kambi ya wananchi itakua nchi stable duniani. Kule kwa hu ho shu...... Andaeni propaganda nyingine. Ila tumesajili jamaa wakuuupiga mwingi tupu. Its only Dar young africa managed to take proffesional player who played UEFA. Get ready na mababu mnaowaandikisha hao.
we jamaa mi nashabikia yanga mwaka 88 nipo la kwanza,redio moja mnakusanyika wote...Acha utani soma uelewe, Mwaka 98 ndio rasmi nilianza kujitambu mimi ni nani na kuwa mshabiki wa Simba sasa piga hesabu kama ningekuwa nimezaliwa 1990 hiyo 1998 si ningekuwa na miaka nane tu kwa wakati huo ningewezaje kuwa shabiki wa Simba?
Sasa hivi mtoto wa miaka mitano anakuwa shabiki wa timu fulani haraka sana kwa sababu ya teknolojia hata kama aishi Dar es salaam
Labda mbebe kombe kwa kutumia ile mbinu yenu haramu ya kupulizia sumu kwenye vyumba, kwa mpira halali ni hamsa hamsa.Simba ni timu bora sana na itazidi kuwa bora hatuna vision za kuendelea kuwa wapinzani wa TASAF FC A.K.A mbute fc a.k.a ndala fc a.k.a bakuli fc a.k.a Vyura fc.
Vision yetu ni kubeba kombe la Afrika.
Tunasajili wachezaji wazoefu hatusajili ili tukuze wachezaji.
Na nadhani huijui Simba sports vizuri tuna Simba B ambako tunapika wachezaji wa karne.
Kipindi kuna mashindano ya U20 AFCON hapa Bongo ni Simba B pekee iliyopata nafasi ya kucheza na Cameroon huko kwenye U20 nako tuna dominate vibaya sana.
Kwenye kina mama hatupimiki msimu ujao kikombe chetu.
Simba B imetuzalishia wachezaji kibao ikiwemo Ibrahim ajib ambaye ndio tumaini lenu.
Wachezaji wenye umri mdogo Simba wakitanzania walioko kwenye Senior team tuna Rashid juma, HD, na wengine wengi ambao tutawaacha kama Adam salamba
Tuweke ushabiki na unazi pembeni Ni timu gani Bora kwa sasa Tanzania?Labda mbebe kombe kwa kutumia ile mbinu yenu haramu ya kupulizia sumu kwenye vyumba, kwa mpira halali ni hamsa hamsa.