HabarNaombeni ushauri nima studio ya kupiga picha tayari ila natumia TIN number ya jina langu na ninalipa kodi TRA kupitia tin namba hiyo lkn sasa nataka nikachukue leseni ya biashara sasa ktk fomu ya kujaza kuna sehemu ya kujaza unaweka aidha jina lako mwombaji au jina la biashara, sasa mimi nataka kutumia jina la biashara tofauti na jina langu je, itakubalika kutumia tin number jina la owner lkn leseni ya biashara ni jina la biashara tofauti na jina lililopo ktk tin number?
Naomba kuwasilisha
Naombeni ushauri nima studio ya kupiga picha tayari ila natumia TIN number ya jina langu na ninalipa kodi TRA kupitia tin namba hiyo lkn sasa nataka nikachukue leseni ya biashara sasa ktk fomu ya kujaza kuna sehemu ya kujaza unaweka aidha jina lako mwombaji au jina la biashara, sasa mimi nataka kutumia jina la biashara tofauti na jina langu je, itakubalika kutumia tin number jina la owner lkn leseni ya biashara ni jina la biashara tofauti na jina lililopo ktk tin number?
Naomba kuwasilisha