Usajili ya Biashara

Usajili ya Biashara

Boanerge

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
686
Reaction score
180
Naombeni ushauri nima studio ya kupiga picha tayari ila natumia TIN number ya jina langu na ninalipa kodi TRA kupitia tin namba hiyo lkn sasa nataka nikachukue leseni ya biashara sasa ktk fomu ya kujaza kuna sehemu ya kujaza unaweka aidha jina lako mwombaji au jina la biashara, sasa mimi nataka kutumia jina la biashara tofauti na jina langu je, itakubalika kutumia tin number jina la owner lkn leseni ya biashara ni jina la biashara tofauti na jina lililopo ktk tin number?
Naomba kuwasilisha
 
Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA ndugu Richard Kayombo Karibu hapa ujibu swali hili
 
Naombeni ushauri nima studio ya kupiga picha tayari ila natumia TIN number ya jina langu na ninalipa kodi TRA kupitia tin namba hiyo lkn sasa nataka nikachukue leseni ya biashara sasa ktk fomu ya kujaza kuna sehemu ya kujaza unaweka aidha jina lako mwombaji au jina la biashara, sasa mimi nataka kutumia jina la biashara tofauti na jina langu je, itakubalika kutumia tin number jina la owner lkn leseni ya biashara ni jina la biashara tofauti na jina lililopo ktk tin number?
Naomba kuwasilisha
Habar
Ntajibu kwa uelewa wangu kulingana na utendaji wangu pia wa kazi hizi
Ni muhm biashara kuisajili kwa mamlaka husika yan BRELA then ndo hatua za kupata lesen znafata ila huwez kupata leseni bila kufanyiwa makadirio ya tax clearance baada ya hapo unalipia hayo makadirio then mambo ya lesen yanfata
Lakin kuhusu suala la tin kuwa na jina lako hii haina tatzo labda ingkuwa ni company ingleta shda kidogo ila ni muhmu majina yako yakawa sawa na vitambulisho vyako vya uraia n.k
Km kuna mapungufu wachangiaji wengne watasahihisha
 
Simple sana mkuu,sajili jina la biashara yako BRELA then nenda TRA waambie unataka kuongeza jina la biashara yako kwenye TIN yako .kikubwa usisajili kama kampuni
 
Fanya hivi
Ili uweze kutumia jina la biashara katika leseni yako na vlvl uwe walipa kodi kwa kutumia jina la biashara unalazimika kusajili jina la biashara BRELA.
Ukishasajili jina la biashara utapewa vyeti viwili ambavyo ni "Extract from Register" na "Certificate of Registration". Utatoa "copy" na ku-certify kisha wasilisha TRA ktk mkoa wako wa kodi unaolipia pamoja na TIN uliyopewa awali ambayo haina jina la biashara. Utaomba waongezee jina la biashara, hivyo TIN itafanyiwa "ammendment" na kuongezwa jina hilo jipya. Mfano: Mwanzo km ilikuwa inasoma John Jonson. Na jina la biashara ni Boanerge studio, then itakuwa JOHN JACKSON T/A BOANERGE STUDIO.
Baada ya marekebisho haya utakuwa walipia na leseni yako itasoma kutokana na TIN mpya iliyoongezwa jina la biashara.

Back
Top Bottom