usajillI wa ACPA NA ACPA pp

usajillI wa ACPA NA ACPA pp

Joined
Apr 10, 2017
Posts
25
Reaction score
18
Nauliza kuna uwezekano wa mtu aliye pata usajili wa ACPA akabalisha na kupata usajili wa ACPA pp kutoka bodi ya uhasibu na ukaguzi (NBAA)
 
Kiufupi haiwezekani.
ACPA inaonyesha kwamba umebobea kwenye Uhasibu na ulifanya Practical ya Uhasibu kwa Miaka 3.
CPA-PP. ni kwamba umebobea katika Ukaguzi wa Mahesabu(Auditor) na ulifanya Practical katika Auditing Firm kwa Miaka Mitatu.

Kama unahitaji kuhama kutoka ACPA kwenda CPA-PP,Suluhu Pekee ni Kufanya Mazoezi(Practical) katika Auditing Firm kwa Miaka mitatu na ukuhitimu unasajiliwa kuwa CPA-PP.

Note.
Pamoja na kupata CPA-PP vilevile utaendelea na Utaalamu wako wa ACPA.
 
Back
Top Bottom