ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hapa ndipo mnapokoseaga, hii ndio tafsiri ya ukubwa na kujua.Wazungu sio wavuta bangi, acha aendelee kukichafua.Ukisikia kismati ndiyo hiki sasa. Kiukweli Kijana hana maajabu kwa sasa. Bora hata aengeendelea tu kubakia Genk.
Huko alikoenda, akiendeleza ile tabia yake ya uvivu, na hivyo kutumia muda mwingi kudhurura tu uwanjani, na kutoa vipasi vya hapa na pale; aisee msimu ukiisha tu atafungashiwa tena vilago.
Kutokujua kusoma ni ubaguzi au ukweliWabaguz hao...