Wadau salaam kwenu
Naomba msaada wa namna ya kusajiri hizi taasisi za kijamii.
Nfano: Nataka kusajiri Taasisi ya kuhudumia kaya masikini au wajasiriamali wadogo wadogo.
Utaratibu uko vipi,na kama kuna anayejua naman zinavyojiendesha naomba msaada tafadhali.
Asanteni
Naomba kuwasilisha
Sent using
Jamii Forums mobile app