Usalama jukumu la nani?

Usalama jukumu la nani?

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,708
Nimesoma humu eti jukumu dhidi ya tishio la M23 na Al Shabab ni la serikali,hii dhana napingana nayo kabisa.

Nionavyo mimi jukumu hili ni la kila raia wa Tanzania,kwa maana kila raia ni mlinzi wa eneo analoishi,endapo mtu mgeni katika eneo fulani atatakiwa kutambuliwa na majirani zake.

Ikiwa katika nyumba za wageni na mahotelini basi mwenye biashara hiyo ana karibu wa kuwajua wateja wake.
 
Back
Top Bottom