Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

Hakuna madhara yoyote codes zitakuwa deactivated na Biden atapewa mpya.
 
Huyu jamaa hana akili Timamu kabisaa kama ni kweli akili zake km za naniii yule hivi mnamwtaje vile....hana utaalamu nayo kuhusu Nuc. zaidi ya Forward Commanding tu! wakati wa kuhitajika kwayo! Kumbe Mizungu nayo yamo majinga jingiriji?
 
Back
Top Bottom