Usalama.wa HQ Human Cherish Pads and Pantliners

Usalama.wa HQ Human Cherish Pads and Pantliners

Uuwii me napenda zile pantiliner zake....yani nikivaa najisikilizia Kwanzaa....rahaaa
 
Nazo zina madhara kwani?
Maana sikujuaga maana mie nilikuwaga mhasibu wa mradi...so mambo ya kitabibu hayo sikuulizaga nilikuwa sina muda nayo.

sina hakika ila nijuavo mimi hata izo zikitumika vizur kwa usafi nakubadili mara kwa mara they are more safe kuliko hata izi za kiwandani. nionavo mm shida yake ipo kwenye kufua
 
Back
Top Bottom