chuma cha reli JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 2,764 Reaction score 2,559 Jan 18, 2015 #21 andromena said: mhhh we umewaonaje hao watu lakinπ Click to expand... Nilikuwa taasisi moja ya kijamii tukafanya kautafiti ndio nikajua.... Kwani sio kweli?
andromena said: mhhh we umewaonaje hao watu lakinπ Click to expand... Nilikuwa taasisi moja ya kijamii tukafanya kautafiti ndio nikajua.... Kwani sio kweli?
andromena JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 587 Reaction score 668 Jan 18, 2015 #22 chuma cha reli said: Nilikuwa taasisi moja ya kijamii tukafanya kautafiti ndio nikajua.... Kwani sio kweli? Click to expand... ni kweli ipo hioπ
chuma cha reli said: Nilikuwa taasisi moja ya kijamii tukafanya kautafiti ndio nikajua.... Kwani sio kweli? Click to expand... ni kweli ipo hioπ
chuma cha reli JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 2,764 Reaction score 2,559 Jan 18, 2015 #23 andromena said: ni kweli ipo hioπ Click to expand... Nazo zina madhara kwani? Maana sikujuaga maana mie nilikuwaga mhasibu wa mradi...so mambo ya kitabibu hayo sikuulizaga nilikuwa sina muda nayo.
andromena said: ni kweli ipo hioπ Click to expand... Nazo zina madhara kwani? Maana sikujuaga maana mie nilikuwaga mhasibu wa mradi...so mambo ya kitabibu hayo sikuulizaga nilikuwa sina muda nayo.
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,709 Jan 18, 2015 #24 Uuwii me napenda zile pantiliner zake....yani nikivaa najisikilizia Kwanzaa....rahaaa
andromena JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 587 Reaction score 668 Jan 18, 2015 #25 chuma cha reli said: Nazo zina madhara kwani? Maana sikujuaga maana mie nilikuwaga mhasibu wa mradi...so mambo ya kitabibu hayo sikuulizaga nilikuwa sina muda nayo. Click to expand... sina hakika ila nijuavo mimi hata izo zikitumika vizur kwa usafi nakubadili mara kwa mara they are more safe kuliko hata izi za kiwandani. nionavo mm shida yake ipo kwenye kufua
chuma cha reli said: Nazo zina madhara kwani? Maana sikujuaga maana mie nilikuwaga mhasibu wa mradi...so mambo ya kitabibu hayo sikuulizaga nilikuwa sina muda nayo. Click to expand... sina hakika ila nijuavo mimi hata izo zikitumika vizur kwa usafi nakubadili mara kwa mara they are more safe kuliko hata izi za kiwandani. nionavo mm shida yake ipo kwenye kufua