Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Kuna siku nilikua nasafisha masikio yangu naamin kila mtu anajua ile raha ya cotton buds mara zinapoingia kwenye sikio kuna raha fulan ambayo tunaipata ni ngumu kuelezea na shart lazima jicho kidogo ufumbe au kama sio kurembua kabisa.
Bas baada ya ile raha likaja swala moja kwenye kichwa changu kuhusu hizi Earphones au hedifone tupendavyo kuziita tulio wengi
Kuna hii tabia ya kuazimana hvi vitu na mara nying maofisni au hata majumban kwetu utasikia unaenda kumwambia mtu naomba uniazime nikasiklze music radio movie or whatever ambayo inawezekana kutumia hzo mambo.
Nilijaribu kuuangalia ule uchavu ambao umetoka kwenye sikio langu na zile earphone ambazo nmekuwa nikiazmwa au kumuazima mtu, Usalama wetu ukoje haswa haswa kwenye maradhi ambayo yanatokana na masikio
Kwa wenzetu ambao mko kwenye kada ya afya mnaweza kutusaidia haswa maradhi gan ambayo tunaweza kuyapata kutokana na hii hulka ya kuazimishana hizi vitu.
Ila kama hakuna magonjwa is it hygenic kuazimishana hzi kitu kwa maana wachache wetu sipend kusema weng tabia ya kusafisha masikio huwa haiwi mara kwa mara.
So msaada kwa anaejua maradhi yanayoambatana na hii kitu au ni salama kufanya hicho kitu.s