Usalama wa masikio yetu na Kuazimana Earphones / Headphones

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
13,370
Reaction score
29,968
Kuna siku nilikua nasafisha masikio yangu naamin kila mtu anajua ile raha ya cotton buds mara zinapoingia kwenye sikio kuna raha fulan ambayo tunaipata ni ngumu kuelezea na shart lazima jicho kidogo ufumbe au kama sio kurembua kabisa.

Bas baada ya ile raha likaja swala moja kwenye kichwa changu kuhusu hizi Earphones au hedifone tupendavyo kuziita tulio wengi
Kuna hii tabia ya kuazimana hvi vitu na mara nying maofisni au hata majumban kwetu utasikia unaenda kumwambia mtu naomba uniazime nikasiklze music radio movie or whatever ambayo inawezekana kutumia hzo mambo.

Nilijaribu kuuangalia ule uchavu ambao umetoka kwenye sikio langu na zile earphone ambazo nmekuwa nikiazmwa au kumuazima mtu, Usalama wetu ukoje haswa haswa kwenye maradhi ambayo yanatokana na masikio

Kwa wenzetu ambao mko kwenye kada ya afya mnaweza kutusaidia haswa maradhi gan ambayo tunaweza kuyapata kutokana na hii hulka ya kuazimishana hizi vitu.

Ila kama hakuna magonjwa is it hygenic kuazimishana hzi kitu kwa maana wachache wetu sipend kusema weng tabia ya kusafisha masikio huwa haiwi mara kwa mara.

So msaada kwa anaejua maradhi yanayoambatana na hii kitu au ni salama kufanya hicho kitu.s
 
Kwanza kabisa masikio hayasafishwi kwa hizo cotton buds,
na endapo utazoe kusafisha basi unahatarisha usalama wa masikio yako kwa kiasi kikubwa,
kwasababu licha ya huu uchafu unaoonekana kwa juu, kuna ule mwingine unakuwa kwa ndani kidogo kwenye kuta za sikio unakuwa na rangi kama maroon au asali,
ile ni kinga ya asili kwa sikio kwaajili ya kuzuia bakteria na magonjwa mbalimbali ya sikio.
Ndomana unakuta ukizoea kutoa uchafu kwa cotton bud basi ukitoka kuoga unakuta masikio yanawashaaa mpaka uyachokoe na cotton buds ndo yatulie(hatari hiyo)
hapo inamaanisha ile kinga ya asili haipo na masikio yanashambuliwa na bakteria.
Anyway ngoja niishie hapa
 
Niwe mkwel ule ambao unakuwa kama rangi ya asali mim siku zote najua ndio uchafu so nikiwa natumia cotton buds zikiwa zimechafuka vile huwa naona sasa sikio langu sio salama so nahakikisha mpaka wote utoke asante stunter kwa kunivumbua mkuu
 
Hiyo ni hatari mkuu, ndani ya sikio hakutakiwi kuingizwa vitu vya ajabu ajabu, sikio halihitaji distabans, sikio li-treat kama vile unavyolisafisha jicho,
Ngoja nikwambie sasa,
kwenye zile kuta za sikio kuna ngozi laini sana ambayo ikisuguliwa mara kwa mara huwa inachubuka,
na ikichubuka huwa kunakuwa na virus wanaingia na kusababisha fungus ya sikio, hapo ndo utaanza kutembea na cotton buds kwenye bag manake kila muda sikio unahisi linatekenya,
baadae sikio litaanza kukuuma direct au indirect, direct namaanisha moja kwa moja,
na indirect namaanisha ni pale unakuta ukisilizia music kwa headphone hauchukui muda mwingi unakuta sikio linauma,
au ukifanya mazoezi unakuta sikio linapwita(linadunda kama ngoma)
na mengineyo..
 
Maelezo yamejitosheleza,asante sn
 
Mkuu Njia mbadala ya kusaficha ni ipi sasa?..Mana wengi tumezoea hii ya kutumia Pamba
 
Bonny Swali lako la kushare earphones naona bado halijajibiwa..Hii mada ungeipeleka kwenye jukwaa la madaktari nadhani ingekuwa poa zaidi
 
Yah ule sio uchafu Bali ni wax material that trap sound into ear drum and also persist some bacterial
 
Mkuu Njia mbadala ya kusaficha ni ipi sasa?..Mana wengi tumezoea hii ya kutumia Pamba
Njia safi ni ile ukioga unasafisha kwa mikono tu kwakutumia vidole, then ukimaliza unajifuta kwa nguo au kitambaa laini, hiko kitambaa unakizonga kwenye kidole then unasafisha, hapo utasafisha ule uchafu ambao sikio limeutoa na utaacha ile kinga ya ndani cuz hautoifikia.(sikio huwa na kawaida ya kujisafisha.
Lakini mkuu jitahidi usilisafishe sana sikio lako kwasababu ule utando wa ndani ndio unaosaidia kunasa vumbi na kuua bakteria wasababishao maradhi ya sikio)
yani wewe safisha aste aste tu na sikio litasafishika vizuri tu
 
kuna rafiki yangu alipata fungus za sikio akenda kuzibuliwa haloo alilia kama kama kabanwa tokea hapo siazimi wala sihazimishi
 
Stun aseeh sipendi niguse sikio nikute lina unyevu fulani wa utando huwa hata kama nipo njian na nunua cotton. Kumbe huwa naharibu duuh.

Pia mimi muda nilikuwa mlevi wa earphones sasa masikio yakawa yanajaa upepo nikaenda kwa Dr. Akanishauri nipunguze kutumia earphones. Hakuniambia hiki kitu cha cotton aseeh
 
Bonny Swali lako la kushare earphones naona bado halijajibiwa..Hii mada ungeipeleka kwenye jukwaa la madaktari nadhani ingekuwa poa zaidi
swali lake limejibiwa mbona?
Au wewe huoni hapo juu?
Tena amepata elimu nyengine ambayo hakuitegemea.
Inshort soma hiko kipengele cha bakteria ndio utaona kwamba hao bakteria wanasababisha fungus za masikio, pamoja na magonjwa mengine kama upele na ugonjwa wa ngozi.
Sasa hao wanaambukizwa.
 
Njia safi ni ile ukioga unasafisha kwa mikono tu kwakutumia vidole, then ukimaliza unajifuta kwa nguo au kitambaa laini, hiko kitambaa unakizonga kwenye kidole then unasafisha, hapo utasafisha ule uchafu ambao sikio limeutoa na utaacha ile kinga ya ndani cuz hautoifikia.(sikio huwa na kawaida ya kujisafisha.
Lakini mkuu jitahidi usilisafishe sana sikio lako kwasababu ule utando wa ndani ndio unaosaidia kunasa vumbi na kuua bakteria wasababishao maradhi ya sikio)
yani wewe safisha aste aste tu na sikio litasafishika vizuri tu
Unachembechembe za udokta hhmmm!!! somehow[emoji41][emoji47]
 
Mkuu Njia mbadala ya kusaficha ni ipi sasa?..Mana wengi tumezoea hii ya kutumia Pamba
sikio linamtindo wa kujisafisha namaanisha ule utando kama asali hutoka wenyewe bila kuguswa! so kama unasafisha safisha nje kwenye lile tundu paache huo utando utatoka wenyewe tu maana ukiutoa wewe mwengine utautoa na mwengine utaudidimiza kwa ndani ambapo inakuwa si vyema.
 
Kwanza kabisa masikio hayasafishwi kwa hizo cotton buds,
na endapo utazoe kusafisha basi unahatarisha usalama wa masikio yako kwa kiasi kikubwa,
kwasababu licha ya huu uchafu unaoonekana kwa juu, kuna ule mwingine unakuwa kwa ndani kidogo kwenye kuta za sikio unakuwa na rangi kama maroon au asali,
ile ni kinga ya asili kwa sikio kwaajili ya kuzuia bakteria na magonjwa mbalimbali ya sikio.
Ndomana unakuta ukizoea kutoa uchafu kwa cotton bud basi ukitoka kuoga unakuta masikio yanawashaaa mpaka uyachokoe na cotton buds ndo yatulie(hatari hiyo)
hapo inamaanisha ile kinga ya asili haipo na masikio yanashambuliwa na bakteria.
Anyway ngoja niishie hapa
Mkuu umeanza vizuri lakini umeshindwa kumaliza vzr. Ulianza na strong point kwamba "Masikio hayasafishwi na cotton buds." Nilitarajia utatuelekeza masikio yanasfishwa na nini badala ya hizo cotton buds?
 
Stun aseeh sipendi niguse sikio nikute lina unyevu fulani wa utando huwa hata kama nipo njian na nunua cotton. Kumbe huwa naharibu duuh.

Pia mimi muda nilikuwa mlevi wa earphones sasa masikio yakawa yanajaa upepo nikaenda kwa Dr. Akanishauri nipunguze kutumia earphones. Hakuniambia hiki kitu cha cotton aseeh
Earphones zinachangia kwa kiasi kidogo sana endapo utafuata utaratibu wake,
unashauriwa kila baada ya dakika 40-50 za kusikiliza earphone, upumzike angalau dakk 5-10..
Hapo utajiepusha na maumivu ya sikio.
Vile vile kuna zile earphone zenye vipira kwa mbele, zile sio nzuri na maranyingi zinasababisha maumivu.
Phone nzuri ni zile dizain zilizokaa round na sometimes utazikuta na kiji'cover kwa mbele mfn OFIA, samsung etc
 
kuna rafiki yangu alipata fungus za sikio akenda kuzibuliwa haloo alilia kama kama kabanwa tokea hapo siazimi wala sihazimishi
Hahah alienda kupigwa bomba la sikio, sema ukipigwa lile bomba linakuwa haliumi labda uoga aliuzidisha tu.. But baada ya siku moja hadi mbili ndo unaweza kupata maumivu matakatifu,(lakini hii sio kwa wote)
 
Back
Top Bottom