Mkuu nimejibu hapo juu kwenye comment ya kaboom, nenda kaisome then uulize swali lakoMkuu umeanza vizuri lakini umeshindwa kumaliza vzr. Ulianza na strong point kwamba "Masikio hayasafishwi na cotton buds." Nilitarajia utatuelekeza masikio yanasfishwa na nini badala ya hizo cotton buds?
nzi kufa kwenye kidonda sio uzembe ila kapenda eeehhHehehe ...
huogopi maradhi ww
Nipe nafasi ya kukutibu.....Unachembechembe za udokta hhmmm!!! somehow[emoji41][emoji47]
Mkuu hili tangazo la Earphones za OFIA na SAMSUNG limelipiwa ?Earphones zinachangia kwa kiasi kidogo sana endapo utafuata utaratibu wake,
unashauriwa kila baada ya dakika 40-50 za kusikiliza earphone, upumzike angalau dakk 5-10..
Hapo utajiepusha na maumivu ya sikio.
Vile vile kuna zile earphone zenye vipira kwa mbele, zile sio nzuri na maranyingi zinasababisha maumivu.
Phone nzuri ni zile dizain zilizokaa round na sometimes utazikuta na kiji'cover kwa mbele mfn OFIA, samsung etc
Njoo uzifate[emoji28] [emoji1]nzi kufa kwenye kidonda sio uzembe ila kapenda eeehh
[emoji41]Hhmmm ningeumwa na masikio ningekuita ,subir likianza kuuma ntafanya kukutafuta[emoji28] [emoji1]Nipe nafasi ya kukutibu.....
Sio masikio tu, natibu mambo yote, wewe nipe nafasi ya kuwa dokta wako wa kudumu[emoji41]Hhmmm ningeumwa na masikio ningekuita ,subir likianza kuuma ntafanya kukutafuta[emoji28] [emoji1]
Nipande ndege gani? OmanAir, Fly emirates Etihad, au Ethiopia?Njoo uzifate[emoji28] [emoji1]
Hahaha, hizo ndo earphone nnazopenda kutumia ndomana unaona imekuwa rahisi kuzikumbuka,Mkuu hili tangazo la Earphones za OFIA na SAMSUNG limelipiwa ?
[emoji1][emoji28]Unatibu nini na nini ili nkija nijipange nijue nakuja kutibiwa kitu ganSio masikio tu, natibu mambo yote, wewe nipe nafasi ya kuwa dokta wako wa kudumu
swiss airline[emoji1] [emoji28]Nipande ndege gani? OmanAir, Fly emirates Etihad, au Ethiopia?
Vyote... Kuanzia miwasho ya mwili, homa ya baridi, kuweweseka, yaani magonjwa yote ya mwili bilakusahau na mazoezi ya viungo[emoji1][emoji28]Unatibu nini na nini ili nkija nijipange nijue nakuja kutibiwa kitu gan
Am coming.. Niandalie Macaron na vimto... Ani ibik maalumswiss airline[emoji1] [emoji28]
Hahaha uko vizurii,wacha nijiandae nkiwa tayar nakutafutaVyote... Kuanzia miwasho ya mwili, homa ya baridi, kuweweseka, yaani magonjwa yote ya mwili bilakusahau na mazoezi ya viungo
Waitinggg....[emoji1] [emoji28]Am coming.. Niandalie Macaron na vimto... Ani ibik maalum
ZILE BOOM ZA tecno HUTUMII HATA KIDOGO??Hahaha, hizo ndo earphone nnazopenda kutumia ndomana unaona imekuwa rahisi kuzikumbuka,
nikitaka kusikiliza miziki nakuwa nabadilisha ladha kwa hizo aina mbili, ila ofia 'imetyuniwa' sauti kwo mdundo zaidi ya sabwoofa...
Na kuhusu headphone huwa natumia Beats by Dr Dre au BAT
Sijawahi kutumia bidhaa za tecno, huwa napata ukakasi sana kununua... Nahisi nikinunua hazitakidhi viwango vya ubora, ila nitanunua nizijaribuZILE BOOM ZA tecno HUTUMII HATA KIDOGO??
masikio njia salama zaidi ya kusafisha ni kwa kutumia hydrogen peroxide..huu ute unatokeaga naturally ndani ya sikio kama kinga dhidi ya vumbi..ucjafu wadudu nywele na vinginevyo but ukikaa mda mrefu sana na kujaa mixer uchafu inakuwa sio salama.pia unaganda kwenye kuta za ndani ndani hukoo za sikio..so hata ukienda clinic doc atakwambia kabisa cotton buds sio salama ama ukitumia cotton buds unaweza kuutoa huu ulioganda mwanzoni sio kule ndani.so hydrogen peroxide ndo solution.unatia few drops kweny sikio thn unalala iingie ndani zaidi thn ikifika inalainisha uchafu unabanduka thn unalala kinyume kuelekeza sikio chini unatoka.Mkuu umeanza vizuri lakini umeshindwa kumaliza vzr. Ulianza na strong point kwamba "Masikio hayasafishwi na cotton buds." Nilitarajia utatuelekeza masikio yanasfishwa na nini badala ya hizo cotton buds?