STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Mkuu nimejibu hapo juu kwenye comment ya kaboom, nenda kaisome then uulize swali lakoMkuu umeanza vizuri lakini umeshindwa kumaliza vzr. Ulianza na strong point kwamba "Masikio hayasafishwi na cotton buds." Nilitarajia utatuelekeza masikio yanasfishwa na nini badala ya hizo cotton buds?