Hizo waya zikiwashwa zina umeme na umeme wake ni wa kutosha kukubabua vizuri tu, namaanisha jinsi zinavyoungwa umeme wake unajitegemea na mtambo wake unajitegemea sasa wewe jisogeze kwenye high voltage uone kitakacho kupata utababukawahalifu wanaweza kata hizo nyaya na kuingia ndani kirahisi?
Sio ukitaka kukata ukitembelewa na nyoka au jani gumu au matawi magumu ya mti yakigusa alarm inalia bwiii bwiii mtatafuta shida ilipo hata ikiwa saa 1 usiku bila hivyo muwapigie wenyewe waliounga waje kucheck shida nini na hapo lazima mkaizime maana majirani hawatolala kwa hio mikelele ya alarmNyaya zake ni ngumu kukata pia ukikata inapiga alarm kali.
Hii si ndio walivyomfanyia yule mama kule mwanza ila waliwauaUnaingia getini wahuni wanaingia nyuma yako kabla geti halijafungwa.
Hizo waya zikiwashwa zina umeme na umeme wake ni wa kutosha kukubabua vizuri tu, namaanisha jinsi zinavyoungwa umeme wake unajitegemea na mtambo wake unajitegemea sasa wewe jisogeze kwenye high voltage uone kitakacho kupata utababuka
Vipi umeme ukiwa umekatika au zina mfumo wa dharura wa kuhifadhi umeme?Nyaya zake ni ngumu kukata pia ukikata inapiga alarm kali.
Tufafanulie mkuuHii si ndio walivyomfanyia yule mama kule mwanza ila waliwaua
Security ni multifacetedHii si ndio walivyomfanyia yule mama kule mwanza ila waliwaua
Kwa maoni yangu ulinzi madhubuti wa makazi unahitaji levels nne za ulinzi:Security ni multifaceted
Kuna
Deterrence - aone uvivu au shida au risk kuingia kwako, au ajaribu ila umcheleweshw ili aghairi - electric fence, mageti na milango iliyo secure, lighting. Waliokutarget hawazuiwi na haya.
Detection - Akiingia upate taarifa mapema kabla hajafika mbali - motion & presence detectors. Itakusaidia kama una silaha kuwawahi.
Mfumo wake ni separate kabisa na umeme wa nyumba ila umeme ni huuhuu kwenye kuunga ndio wanatenganisha ila kwa wenye pesa nyingi unaungwa na standby generator ile ya hapo kwa hapo isiyopiga makelele niliikuta sehemu moja tu umeme ukizima generator linawaka fasta hapo hapo na ukirudi linasubiri dakika kadhaa linajizima lenyewe huwezi jua km kuna generator maana halipigi kelele, nazungumzia wenye pesaVipi umeme ukiwa umekatika au zina mfumo wa dharura wa kuhifadhi umeme?
Ina betri inakaa masaa manne.Vipi umeme ukiwa umekatika au zina mfumo wa dharura wa kuhifadhi umeme?
Mkuu hao wote kiongozi wa kwanza ni mbwa.Kwa maoni yangu ulinzi madhubuti wa makazi unahitaji levels nne za ulinzi:
1. Electric fence
2. Cameras - ikiwezekana kuwe na mtu wa kuzimonita masaa 24 au kama haiwezekani basi zirekodi matukio yote na kuyahifadhi katika server iliyopo hapo nyumbani au online kwa muda fulani ili tukio lolote likitokea uwe na pa kuanzia.
3. Motion detectors au alarm system - hizi unaweka ndani hasa kwenye milango ya kutoka nje. Motion detectors unaweza pia kuweka sebuleni na jikoni mkienda kulala.
4. Mlinzi. Uwepo wa mtu utasaidia kucover mapungufu yoyote ya mifumo hiyo hapo juu na kuwa mtu wa kwanza kureact.
Mfumo wake ni separate kabisa na umeme wa nyumba ila umeme ni huuhuu kwenye kuunga ndio wanatenganisha ila kwa wenye pesa nyingi unaungwa na standby generator ile ya hapo kwa hapo isiyopiga makelele niliikuta sehemu moja tu umeme ukizima generator linawaka fasta hapo hapo na ukirudi linasubiri dakika kadhaa linajizima lenyewe huwezi jua km kuna generator maana halipigi kelele, nazungumzia wenye pesa
Kwa uhakika zaidi hapo automatic generator muhimu au ziendeshwe na solar power.Ina betri inakaa masaa manne.
Hio 1 mpaka 3 ni kitu kimoja huo ni mfumo na hio namba 4 ni inakua hapo kusimama nyuma ya mfumo kikitokea chochote kimefanyika na kugunduliwa na mfumo basi namba 4 anachukua hatua ya kukagua na kuchukua hatua na wengi hufanya hivyo, upo sahihi kabisa mkuu hio ipo sehemu nyingi nyingi nyingi hakuna penye camera pasiwe na mtu wa kukagua kufanya uangalizi km kuna kajizi kananyemelea maeneoKwa maoni yangu ulinzi madhubuti wa makazi unahitaji levels nne za ulinzi:
1. Electric fence
2. Cameras - ikiwezekana kuwe na mtu wa kuzimonita masaa 24 au kama haiwezekani basi zirekodi matukio yote na kuyahifadhi katika server iliyopo hapo nyumbani au online kwa muda fulani ili tukio lolote likitokea uwe na pa kuanzia.
3. Motion detectors au alarm system - hizi unaweka ndani hasa kwenye milango ya kutoka nje. Motion detectors unaweza pia kuweka sebuleni na jikoni mkienda kulala.
4. Mlinzi. Uwepo wa mtu utasaidia kucover mapungufu yoyote ya mifumo hiyo hapo juu na kuwa mtu wa kwanza kureact.
Mkuu,Mfumo wake ni separate kabisa na umeme wa nyumba ila umeme ni huuhuu kwenye kuunga ndio wanatenganisha ila kwa wenye pesa nyingi unaungwa na standby generator ile ya hapo kwa hapo isiyopiga makelele niliikuta sehemu moja tu umeme ukizima generator linawaka fasta hapo hapo na ukirudi linasubiri dakika kadhaa linajizima lenyewe huwezi jua km kuna generator maana halipigi kelele, nazungumzia wenye pesa
Solar power ya automatic generator?Kwa uhakika zaidi hapo automatic generator muhimu au ziendeshwe na solar power.