Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika.

Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi.

Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye electric fence?

Je, ukiweka hizo nyaya za ulinzi za umeme bila kuweka cameras, wahalifu wanaweza kata hizo nyaya na kuingia ndani kirahisi?

Nauliza haya maswali kwa sababu nataka kuweka ulinzi wa aina hii katika eneo la heka moja bila kutegemea sana cameras ingawa zitakuwepo chache.
Mwizi akiamua hata ujifunike na 33kV wataiba Tu. Hizo nyaya ni za kuzuia vibaka siyo majambazi
 
inamaana mkuu ukiwa umewasha umeme haifai hata kushika geti lako maana naonaga nyaya zimepita hadi juu ya geti kubwa au hazinaga madhara sehemu hiyo.? na vp kama utazipiga piga nyaya hizo kwa fimbo au mti ama jiwe nako itapiga shoti si unajua watoto watukutu wa mtaa kupenda kujaribu jaribu.
Nadhani madhara yanakuja nyaya zinapoguswa na siyo ukipita karibu au chini yake
 
Back
Top Bottom