technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Siyo yeye, kuna wajanja wanatengeneza per diem, pesa za safari, mjini hapa kaunda suti bila hela ni ufala mtupu.Ulinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.
Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
Dili za watu hizo usiumize akili yako.Nini kimetokea Tanzania hadi “Rais” awaogope Watanzania kiasi hiki? Watanzania wameshaua Viongozi wangapi nchini hadi WAOGOPWE hivi?
BAK hutaki wenzako wapate viposho waweze kusogeza familia zao?
BAK hutaki wenzako wapate viposho waweze kusogeza familia zao?
Cheki mwanamke mwenzake anayeongoza nchi ya tatu kwa utajiri dunianiUlinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.
Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
Ndio aoneshe uzalendo wake kwa kupiga marufuku msururu mrefu wa magari usio na maana kwenye msafara wake, huruma yake kupitiliza inaliangamiza taifa.Siyo yeye, kuna wajanja wanatengeneza per diem, pesa za safari, mjini hapa kaunda suti bila hela ni ufala mtupu.
Unadhani na wao wakale wapi? Hawana cha kuiba hiyo ndio style yao ya kuingiza posho za safari.
Halafu hapo kasimama anahutubia anawaambia wananchi tuilinde amani yetu ni tunu kutoka kwa Mungu!
Rais lazima alindwe kwa ghalama zoteUSALAMA WA RAIS SIO WINGI WA MAGARI NA HELKOPTA
Mnataka apewe ulinzi dhaifu hili mumdhuru RaisNimehesabu leo magari ya msafara yalikuwa 39...
Na yote yana cc 3800 na zaidi sasa piga hesabu wese..perdiem zote za watu waliomo...aisee utawala ni raha sana.