Usalama wa Rais ni muhimu kuliko usalama wowote ule katika Nchi

Mnataka apewe ulinzi dhaifu hili mumdhuru Rais
Ni kama wanaona wanapoteza maslahi yao kwa ninavyowajua hawashindwi kumdhuru hivyo ulinzi uimarishwe makes 10 zaidi ya mwendazakeb
Nimehesabu leo magari ya msafara yalikuwa 39...

Na yote yana cc 3800 na zaidi sasa piga hesabu wese..perdiem zote za watu waliomo...aisee utawala ni raha sana.
Pesa ndogo hizo mafuta ya serikali hatana Jodi hasa ya Rais ni kama kujaza maji tuu
 
Ulinzi wa Mungu ndoi ulio mkuu kuzidi yote. Rais wetu naye inampasa kwa bidii na kwa kumaanisha asiache hata mara moja kuomba ulinzi na usalama wake wa kimwili na kiroho kutoka kwa Mola wake.

Hao walinzi wake, vifaa na mitambo vinavyotumika ni lazima viwekwe chini ya mamlaka ya kimbingu ya Mungu aliye hai.
Mungu anamlinda lakini na yeye anatakiwa kulindwa kikamilifu
 
Naunga mkono hoja.
Mh. Samia Hassan raisi wa JMT alindwe kwa ulinzi mkubwa na imara.
 
Ni kama wanaona wanapoteza maslahi yao kwa ninavyowajua hawashindwi kumdhuru hivyo ulinzi uimarishwe makes 10 zaidi ya mwendazakeb

Pesa ndogo hizo mafuta ya serikali hatana Jodi hasa ya Rais ni kama kujaza maji tuu
Pesa ndogo ?? Be serious
 
Siyo yeye, kuna wajanja wanatengeneza per diem, pesa za safari, mjini hapa kaunda suti bila hela ni ufala mtupu.

Unadhani na wao wakale wapi? Hawana cha kuiba hiyo ndio style yao ya kuingiza posho za safari.
Haahaaahaaahaaa.
 
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.

Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.

Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.

Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.

Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.

Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.

Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.

Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.

Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.

Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.

Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.

Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.

Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.

Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.

Rais anapata ulinzi kwenye nchi anayosema yuko madarakani kwa kura, lakini juzi alikuwa Marekani ambapo haijapigiwa hata kura moja na hana ulinzi wowote wa ajabu. Mpaka anapiga picha na wahuni kama mtu wa kawaida. Kwahiyo hapa nchini alipoingia kwa kura ni hatari kuliko huko nje? Huo ulinzi unawekwa na wajanja ili wapige hela za Mabwege.
 
Hakuna Mtanzania yoyote mwenye hiyo, wasiwasi wa bure wa CCM.

Rais wa wananchi ulinzi utafikiri tupo afghan
Hiyo janja yenu tumeijua,atapewa ulinzi zaidi ya ule wa msukuma mwenzenu
 
Ulinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.

Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
Ila sio yote yako nayeye 24/7 mengine ni wakuu wa idara za mkoa na wilaya.
 
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.

Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.

Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.

Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.

Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.

Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.

Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.

Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.

Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.

Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.

Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.

Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.

Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.

Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.

Kumbe ndiyo maana wanadhani maisha ya wengine hayana thamani:

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
Ulinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.

Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
Kwanini wafanya biashara wakubwa walikuwa maadui wa Magufuli??
 
Alikuwa na allergy na matajiri, akalazimisha waishi kama mashetani, akili za shamba zilimtuma kuamini matajiri wote ni wezi, akawa anawakomoa kwa kuwalipisha kodi mara mbili.
 
Basi PSU nao wabadirike waache ulinzi wa miaka ya 80 wawe wapya sasa,Rais anafuatwa nyuma nyuma na majamaa yamebeba TAVOR kubwa kubwa zero distance kabisa haipendezi na ni ngumu kuulinda mwili kwa staili ile.
 
Back
Top Bottom