Huu ulikua ushamba wa mwendazakeUSALAMA WA RAIS SIO WINGI WA MAGARI NA HELKOPTA
Ni kama wanaona wanapoteza maslahi yao kwa ninavyowajua hawashindwi kumdhuru hivyo ulinzi uimarishwe makes 10 zaidi ya mwendazakeMnataka apewe ulinzi dhaifu hili mumdhuru Rais
Ni kama wanaona wanapoteza maslahi yao kwa ninavyowajua hawashindwi kumdhuru hivyo ulinzi uimarishwe makes 10 zaidi ya mwendazakebMnataka apewe ulinzi dhaifu hili mumdhuru Rais
Pesa ndogo hizo mafuta ya serikali hatana Jodi hasa ya Rais ni kama kujaza maji tuuNimehesabu leo magari ya msafara yalikuwa 39...
Na yote yana cc 3800 na zaidi sasa piga hesabu wese..perdiem zote za watu waliomo...aisee utawala ni raha sana.
Mungu anamlinda lakini na yeye anatakiwa kulindwa kikamilifuUlinzi wa Mungu ndoi ulio mkuu kuzidi yote. Rais wetu naye inampasa kwa bidii na kwa kumaanisha asiache hata mara moja kuomba ulinzi na usalama wake wa kimwili na kiroho kutoka kwa Mola wake.
Hao walinzi wake, vifaa na mitambo vinavyotumika ni lazima viwekwe chini ya mamlaka ya kimbingu ya Mungu aliye hai.
Hakuna Mtanzania yoyote mwenye hiyo, wasiwasi wa bure wa CCM.Mnataka apewe ulinzi dhaifu hili mumdhuru Rais
Ameeen [emoji120]Mungu anamlinda lakini na yeye anatakiwa kulindwa kikamilifu
Pesa ndogo ?? Be seriousNi kama wanaona wanapoteza maslahi yao kwa ninavyowajua hawashindwi kumdhuru hivyo ulinzi uimarishwe makes 10 zaidi ya mwendazakeb
Pesa ndogo hizo mafuta ya serikali hatana Jodi hasa ya Rais ni kama kujaza maji tuu
Acha upumbavu kabisa ulinzi wa Rais haukuhusu hoji ulinzi wa familia yako kwanza ndiyo uje kwa RaisUSALAMA WA RAIS SIO WINGI WA MAGARI NA HELKOPTA
Haahaaahaaahaaa.Siyo yeye, kuna wajanja wanatengeneza per diem, pesa za safari, mjini hapa kaunda suti bila hela ni ufala mtupu.
Unadhani na wao wakale wapi? Hawana cha kuiba hiyo ndio style yao ya kuingiza posho za safari.
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.
Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.
Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.
Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.
Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.
Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.
Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.
Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.
Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.
Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.
Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
Hiyo janja yenu tumeijua,atapewa ulinzi zaidi ya ule wa msukuma mwenzenuHakuna Mtanzania yoyote mwenye hiyo, wasiwasi wa bure wa CCM.
Rais wa wananchi ulinzi utafikiri tupo afghan
Ila sio yote yako nayeye 24/7 mengine ni wakuu wa idara za mkoa na wilaya.Ulinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.
Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
...Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mungu Anaona Yote Haya
Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais.
Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi.
Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi.
Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya ulinzi wake kuwa mkubwa lakini Mimi niseme kabisa Magufuli hakuwa na ulinzi mkubwa kivile Kama watu wanavyosema maana jamaa alikuwa anajiamini Sana.
Ulinzi aliokuwa nao ni vile idara ilimlazimisha kwamba upo kisheria na kulingana na jinsi alivyokuwa anaishi na watu alitakiwa kuwa na ulinzi mkubwa zaidi labda yasingetokea hata yaliyotokea mwezi 3 ingawa tunasema mipango ya Mungu haina makosa.
Rias Samia alindwe na ikiwezekana aongezewe ulinzi swala la ulinzi wa Rais wetu lisifanywe kisiasa kwa sababu sio swala la kisaisa ni la mstakabali wa Nchi kwa ujumla.
Wote Ni mashaidi kilichomtokea Rais Samia akiwa ziarani Morogoro Yule traffic aliyekatiza mbele ya Gari lake bila kuonekana kwani alitakiwa kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ila akaachwa.
Rais wa Nchi anakuwa na Marafiki wengi na Maadui wengi kulingana na anayoyafanya yeye sio maraika.
Kuna watu wanahoji juu ya ulinzi wake kwa Sasa kuimalishwa na Mimi nawakumbusha ulinzi wa Rais ni kwa mjibu wa katiba na sheria za Nchi Wala sio matakwa yake binafsi.
Hivyo ulinzi wake usiusishwe na siasa zetu maana Hata Rais akiwa mzuri vipi anawindwa Kuna makundi ambayo hayakubaliani naye but hata Kama makundi hayo hakuna Rais anatakiwa kulindwa anapokuwa salama na taifa linakuwa salama atafanya maamuzi kwa Uhuru na Hali bila kumhofia mtu yeyote.
Naomba usalama wa Rais ubakie kuwa chini sheria na katiba na watu waliopangwa kumlinda sisi wengine hakuna tunachojua.
Sisi tubishane kwa hoja zetu za kisiasa kuchumi na Mambo ya kutafuta katiba mpya.
Tukumbuke rais akiwa salama na sisi tunakuwa salama Kama Nchi.
Mngejua taharuki iliyotokea Hayati Magufuli alipokufa akiwa madarakani Mngeomba kabisa ulinzi wa Rais Samia uongezwe maradufu.
Rais wetu alindwe asiwe na presa na mtu yeyote na kikundi chochote juu ya maamuzi yake Rais Ni wa Nchi sio wa ccm Wala kikundi chochote akipata tatizo tatizo ni la Nchi naomba Rais aongezewe ulinzi kila Mara pale inapobidi.
Kwanini wafanya biashara wakubwa walikuwa maadui wa Magufuli??Ulinzi wa Magufuli haukuwa wa kawaida, ulikuwa wa zaidi kwasababu utawala wake ulijitengenezea maadui wengi wa ndani hasa wafanyabiashara wakubwa, hakuwa akijiamini.
Huu ulinzi wa Samia nao naushangaa, nauona umepitiliza kwa mtu wa haiba yake, aina ya siasa zake sio kama za Magufuli sijui ana hofu ya nini, ule wingi wa magari ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi masikini wa nchi hii, auache mara moja.
Alikuwa na allergy na matajiri, akalazimisha waishi kama mashetani, akili za shamba zilimtuma kuamini matajiri wote ni wezi, akawa anawakomoa kwa kuwalipisha kodi mara mbili.Kwanini wafanya biashara wakubwa walikuwa maadui wa Magufuli??