Usalama wa Rais ni muhimu kuliko usalama wowote ule katika Nchi

Kwa coment hii nahitimisha kwamba kumbe watz uelewa wetu ni mdogo sana juu ya mambo ya usalama
 
Nini kimetokea Tanzania hadi “Rais” awaogope Watanzania kiasi hiki? Watanzania wameshaua Viongozi wangapi nchini hadi WAOGOPWE hivi?
Nyie ni wapumbavu!

Hivi kumlinda kiongozi ni hadi kuwe na kitu kimetokea?
 
Huu ulikua ushamba wa mwendazake
Security undercover na technology ndio kila kitu kwa sasa
Vipi kwa mtoto wa mjini Samia?

Yani mwendazake analaumiwa hata mkishindwa kuwapikia waume zenu
 
Mlinzi ni MUNGU tu dikteta amekufa na kuzikwa bila lile convoy jammer? Aren't you suprised?

Tenda haki that's all..
 
Kwani na yeye ni dikteta kama yule dhalimu wako hadi kujizingira hivyo?

Na kama ni wajanja kwanini asiwatimue?
 
Bananga umemakia huku?
 
Marais waovu ni waoga sana. Kila wakati wanahisi kuuliwa.
 
Alikuwa na allergy na matajiri, akalazimisha waishi kama mashetani, akili za shamba zilimtuma kuamini matajiri wote ni wezi, akawa anawakomoa kwa kuwalipisha kodi mara mbili.
Kwamba hata hizi mnazolipishwa na Samia mara 3 zaidi nae ana aleji na matajiri?
 
Unajua bavicha wengi akili ni 0 na wana iq ndogo sana.

Ndio maana alipofariki Magu walishangilia wakifikri sasa mambo yao yatakuwa mtelemko.

Sasa mama kawakaba wamechanganyikiwa hawajui washike wapi maana mbaya wao waliekuwa wanamtupia lawama hayupo!

Sasa ona kama hili la ulinzi wa rais. Kipindi cha Magu walisema ni kwakuwa ni ni dikiteta, ila kwa mama wanasema kuna watu wanataka kujipatia hela za bure.

Yani hawajui kabisa kwamba haya ni mambo ya mfumo, mfumo wa Magu ndio huohuo upo hadi kwa Samia.
.
Kipindi kile cha Magu walifikiri anajiamulia kuwa na ulinzi wa aina ile.

Huku kupatwa kwa mabavicha ni batari sana
 
Kujiamini kintu Gani! Licha ya Mabunduki makubwa makubwa Uzi submachine gun, AK 47, XM 307 nk, chopa na vifua vikubwa vya nyonganyonga Bado akafa kirejarejaaa![emoji2][emoji2956]
 
Nyau wewe! Uliwahi kuona bunduki mbele ya Joe Biden, Vladimir Putin, Macron, Angela Merkel au Boris Johnson? Tanganyika Ina kitu Gani kuwazidi hao magwiji wa nchi kubwa kwa kila kitu?! Ni ushamba tu na kujimwabafy! Na Bado kwa shimo atekwenda kama Sisi kajamba Nani huku Kintinku na Mchambawima tunaoishi kama free molecule![emoji2956][emoji2]
 
J

Swali je umoja wa kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…