Ngoja usalama wa jf waje kufafanua hiliSwali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Wanasoma vizuri tu. Kuna kitengo maalumu kwa ajili hiyoSwali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Jibu hili hapaUSALAMA WA TAIFA WENGI WAO WALIKUWA UVCCM.KUNA RAFIKI ANGU ALIKUWAGA UVCCM AKAWA MLINZI WA MANGULA KATIBU MKUU WA CCM LEO YUPO USALAMA WA TAIFA
Hakuna wanachoona kwanza unatakiwa uelewe Usalama ni CCM Chipukizi wanakua UVCCM wakitoka huko wanalambazwa green guard pale moja kwa mbili kidogo tayari washafika usalama, ndio unamuuliza nini kimo ndani ya mioyo au uelewa wa watanzania atakuelewa nini mtu km huyo zaidi kumlinda mwenyekiti?Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Kuna dokezo nimesoma, usalama wakiona mbunge karudi awamu nyingi wanajisahau na kumwita comred,kumbe huyo muhusika anashiriki kushauri mkuu asibadiri katiba na mwisho andiko limesema aliekuwa na uwezo wa kubadiri ni JPM pekee Hawa wengine hawana ujanja kumwambia mbunge anatakiwa akae awamu mbili tuu wakati Wassira mwenyewe anatamani arudi Bungeni kama mbunge aendelee kusumbuaSwali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Unafikiri wanajali basi maana kama wangekuwa wanajali wangemshauri Mh. Rais hisia zetu na jinsi tunavyotaka Katiba Mpya kabla ya uchaguzi ili tushikishe adabu viongozi wezi ambao tunawajuwa kabisa.Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Wamo sana, i know some of ids humu ndani ni zao. Wether wanajali political atmosphere hapa nchini at lah hilo ni swal complexSwali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Hawa kwa sasa hivi wanahusika na usalama wa ccm tu...Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Too sadUSALAMA WA TAIFA WENGI WAO WALIKUWA UVCCM.KUNA RAFIKI ANGU ALIKUWAGA UVCCM AKAWA MLINZI WA MANGULA KATIBU MKUU WA CCM LEO YUPO USALAMA WA TAIFA
Wale siyo usalama wa taifa ni usalama wa wakubwa ndiyo maana hawahangaiki na comments za watu wanasikiliza wakubwaSwali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Wengi wao ni makada wa CCM wanapewa nafasi kama Shukurani hawajui chochote wa chache ndio weredi ila hawana nguvu ya kufanya chochote.Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
TISS wote ni CCM. Usitegemee muujiza, hapa ni Sisi wenyewe tuSwali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania.
Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
Watu milioni 60 wanakutana nao wapi wasikilize maoni yao?Watanzania waliolo kwenye mitandao ya kijamii active hawadi Milioni 2.
Wao wanawasilikiliza Milioni 60 waliobaki