Usalama wa Taifa mnatuatilia maoni ya watanzania kuhusu Uchaguzi?

Usalama wa Taifa mnatuatilia maoni ya watanzania kuhusu Uchaguzi?

Wapo ila wanaoletawa taarifa wamekuwa wakizipuuza. Na wakati mwingine kukemewa. Angalia traffic wanavyopokea rushwa barabarani kupitia tochi zao feki. Raia wanaumia na Usalama wa Taifa wamo. Hawana tofauti na Takukuru wanaopokea rushwa toka kwa mtuhumiwa wa rushwa ili wasimkamate baada ya kunasa kwenye mtego. " Kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake" Huu semi una maana sana kwa Watendaji wa Serikali.
 
No hili la kugomea kupiga kura linawasumbua sana, ni vipi wabadili upepo. Angalia nyendo zao,
 
Sasa hivi there is great confusion in the country na Usalama wa Taifa wanapaswa kuwa alert.
Siyo kuhusu maoni ya wananchi kuhusu Uchaguzi.
Wanapaswa kuwa alert concerning everything.
Unajua nchi ni confused manabii wanapoibuka wengi kusema "Nchi hii inaelekea pabaya... Inaelekea kubaya"
Nabii mmoja anapingana na mwingine.
Nabii anajipinga mwenyewe maneno aliyosema mwanzo .
 
Tanzania hakuna usalama wa taifa kuna usalama wa siisiiemu period.
 
Back
Top Bottom