Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

Status
Not open for further replies.
Idara hii inahitaji mabadiliko makubwa. Sasa hivi watu wanachukua advantage ya matatizo ya Kikwete na kila mmoja anajifanya ndiyo bosi wa usalama wa taifa. Huku kina RO na wenzao wanalinda zaidi maslahi ya kundi la sasa lililoko madarakani kama vile kina Apson walivyolinda kundi lao.
 
haya mambo ya kutegemea usalama wa taifa kwenye uongozi ni matatizo
 
Naamini bado wamo watu MAKINI mle ndani ya TISS. Ajira zao tu ndio zinanichosha. Ni watoto wao, ndugu zao na watoto wa watawala wetu ndio wanaoajiriwa mle.
 
Idara hii inahitaji mabadiliko makubwa. Sasa hivi watu wanachukua advantage ya matatizo ya Kikwete na kila mmoja anajifanya ndiyo bosi wa usalama wa taifa. Huku kina RO na wenzao wanalinda zaidi maslahi ya kundi la sasa lililoko madarakani kama vile kina Apson walivyolinda kundi lao.
Baba wa taifa alishasema huwezi jenga mazingira mazuri ya kazi ktk nchi korapt kama hii,huko usalama wa taifa kuko very corrupted,wao ndio walikuwa walinda siri za serikali lakini sasa ndio wanaozivujisha mpaka nje ya mipaka yetu!!!So who to TRUST?
 
Je ni kweli UWT hawashauri inavyotakiwa?..........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom