Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Baba wa taifa alishasema huwezi jenga mazingira mazuri ya kazi ktk nchi korapt kama hii,huko usalama wa taifa kuko very corrupted,wao ndio walikuwa walinda siri za serikali lakini sasa ndio wanaozivujisha mpaka nje ya mipaka yetu!!!So who to TRUST?Idara hii inahitaji mabadiliko makubwa. Sasa hivi watu wanachukua advantage ya matatizo ya Kikwete na kila mmoja anajifanya ndiyo bosi wa usalama wa taifa. Huku kina RO na wenzao wanalinda zaidi maslahi ya kundi la sasa lililoko madarakani kama vile kina Apson walivyolinda kundi lao.