Ungewashauri wahalafu waache kuzurura hovyo!
Wewe kweli ni mjingaUngewashauri wahalafu waache kuzurura hovyo!
Kumfuatilia Lisu na Nape Nnauye ilitumika pesa ya mabeberu sio vipesa vyako uchwara.Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye anashinda kutembee na gari, kulipwa , kuajiri dereva kwa kumchunguza au kuwachunguza wanasiasa.
Tunaomba serikali na wahusika waheshimu pesa ya shida tunayotafuta wananchi na itumike vizuri.
Ushauri mzuri.Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye anashinda kutembee na gari, kulipwa , kuajiri dereva kwa kumchunguza au kuwachunguza wanasiasa.
Tunaomba serikali na wahusika waheshimu pesa ya shida tunayotafuta wananchi na itumike vizuri.
Wahalafu ndiyo nini mjumbeUngewashauri wahalafu waache kuzurura hovyo!
Ungewashauri wahalafu waache kuzurura hovyo!
Hata risasi zilizotumika kumpiga Lissu ni hela za walipa kodi. Ndio kazi ya hela..kuweni na amani.Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye anashinda kutembee na gari, kulipwa , kuajiri dereva kwa kumchunguza au kuwachunguza wanasiasa.
Tunaomba serikali na wahusika waheshimu pesa ya shida tunayotafuta wananchi na itumike vizuri.