"Usalama wa Taifa" wanaompa Dkt. Slaa taarifa na kashfa za rushwa kwa wanasiasa wenzake toka 1995 ni kina nani?

Hapo hapo wanasema akishinda Mbowe CDM inakufa😂

Tupo makini sana na watu hawa
 
Ikiwa unaamini taarifa za Dr Slaa ipo siku utaamini Baba yako si Baba yako.
Kutoa tuhuma kwa wenzako ni rahisi sana,kuthibitisha tuhuma hizo pasipo shaka ni kazi ngumu sana.
Siasa za Dr Slaa za kuchafua watu zimepitwa na wakati ifike mahali wote waliochafuliwa wampeleke Mahakani akathibitishe na si kumwacha aendelee kuropoka.
 
S
Shida ukushakuwa padre husemi siri uliyoo
Ukishakuwa padre humsemi mtu aliyekupa siri. Unaweza ukaisema ile siri kwa manufaa ya watu kama fundisho au tahadhari nk.
 
Huko sisiemu si abaki huko huko
 
Ni wazalendo
 
Umesema anapewa ili kuchagua watu, halafu unataka kujua wanaompa taarifa. Kama unaamini taarifa anazopewa ni kwa ajili ya kuchagua watu Kuna haja gani ya kuwajua hai watu.
Usalama wa taifa Wana njia nyingi za kufanya kazi, Kama wametoa taarifa na taarifa haifanyiwi kazi wanaweza kutumia vyombo vya habari makini, wabunge makini, na watu wenye ushawishi kutoa taarifa.
Kama unakumbuka kesi ya jamiiforums ya kukataa kutoa chanzo cha taarifa utakuwa umeelewa vizuri.
 
Nilidhani unahoji uadilifu wa vyombo hivyo vya dola kumbe lengo la andiko lako ni kukingia kifua Dola pamoja na Mbowe?

Whistle blower Slaa anaingiaje kwenye lawama, anataka umaarufu wa kufanyia nini kwa waTz, kuna chama anataka kuanzisha hivyo anatafuta popularity?

Kwanini msichunguze yaliyosemwa badala yake unakuja na concln kwamba kasema uongo, ni lini umefanyia utafiti wa kiuchunguzi kuhusu habari hizo na kuja na jibu ulilokuja nalo?

Haya masuala ukiyakurupukia kishabiki na kikada yanakuvua nguo na kukuacha mtupu.

Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kubebwa na mkumbo wa kanusha kanusha yenu bila kuoneshwa vielelezo vinavyotoa majibu halisi na ya kweli.
 
Kwanza inapaswa ujue members wa huko kwenye safety wengi wanatokea wapi na huyu mwenye silaha na ye katokea wapi. Ukishajua sogea kwa mama uji piga wa ulezi na vitumbua nenda kazini kwako hapo Sokoni Tandika au jifungie uongeze idadi ya toddlers. Mambo ya wakubwa waachie wakubwa
 
Katika umri wangu huu, sijawahi kusikia mtu anakuwa balozi siyo wa nyumba kumi naomba kueleweka, siyo jasusi na kama wapo ni wachache sana.
 
Hata kama Slaa ana makando kando yake ila huyu mzee anatembea na data, na mkweli, unakumbuka mwembe yanga alivyotaja LIST OF SHAME(mafisadi papa) kwa majina, akiwemo ROSTAM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…