Usalama wa Viwanja na Mashamba Pingo Chalinze upoje?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Great thinkers.

Mwenyeji au anaeyelewa usalama na hatari zilizopo hapo atujuze. Bongo hii pamejaa makanjanja wengi sana.

Ili kuepuka kupigwa kwenye ununuzi wa aridhi tufumbueni macho kidogo.sisi wageni maana hata watendaji wa serikali hawaaminiki kwa sasa lao ni moja na madalali..

Karibuni
 
Toa ufafanuzi zaidi


Umenunua kiwanja Pingo ?
Umenunua kwa nani ?
Umefika ofisi ya manispaa husika ?
Umekiona kiwanja/shamba ulilonunua?
Mkataba umeandaliwa na mwanasheria?
Umelipa kwa cash/bank/mobile ?
 
Daaaaa nina shamba huko piaa acha nika check again kama liko salama
 
Toa ufafanuzi zaidi


Umenunua kiwanja Pingo ?
Umenunua kwa nani ?
Umefika ofisi ya manispaa husika ?
Umekiona kiwanja/shamba ulilonunua?
Mkataba umeandaliwa na mwanasheria?
Umelipa kwa cash/bank/mobile ?
Mkuu toa experience yako tu Unajua kuna maeneo ukiyataja watu lazima.wakwambie kuwa makini. Maeneo.yenye janjajanja wazoefu lazima.wakwambie
 
Changamoto sio kubwa sana labda kuna baadhi yasehem masai wanadai nimaeneo yao mimi pia kuna wakati niliambiwa kuna mashamba eka laki tano sijaenda japo niko maeneo hayo kuna jamaa yangu maeneo huko kikubwa nenda siku ukaongee na wenyeji usiamini sana viongozi waserikali zamitaa wengi nimatapeli
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…