Usaliti kumchomesha kumchoresha, kumuuza ndugu yako; Yuda Eskareote alimchomesha Yesu auawe

Usaliti kumchomesha kumchoresha, kumuuza ndugu yako; Yuda Eskareote alimchomesha Yesu auawe

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
Mtu akishakuwa msaliti once a coward always a coward,hafai kuaminika popote hata kwa familia yake hashindwi kumchomesha hata mwanafamilia yake hata kumuuza mke wake.

Dhambi ya usaliti ni kama kula nyama ya mtu, ina laana ni roho ..inayokupelekea kusaliti tena ni roho chafu sana ya shetani ya laana chafu na mbaya sana.

Kama umesaliti kambi hushindwi kusaliti yeyote chochote kama hata mwenyewe umeidhulumu na kuisaliti nafsi yako na imani yako mwenyewe..

Ni roho ya mauti ukishakuwa msaliti kiroho unakuwa umeshakufa...YUDA alimsaliti YESU mwana wa Mungu aliyekuwa mwema sana rafiki asiye na dhambi..kwa vipande thelathini tu vya fedha..

Hivi mtu anayemsaliti mtu mwema kama lisu kwa vipande vya fedha

Tatizo linakuwa sio thamani ya ile pesa anayopewa ila ni ROHO ya usaliti...mwisho wa siku YUDA aliyemsaliti YESU aliishia kujiua yeye mwenyewe baada ya kujaribu kurudisha vile vipande thelathini vya pesa alivyopokea ili KUMCHOMESHA YESU...alivurudusha vikakataliwa akaamua kujiua mwenyewe ..

Ile siku umemchoma ndugu yako mwanao ukamsaliti unakuwa umehakufa kioho...heshima yako imeshakufa ...unakuwa mfu anayetembea.

USALITI..U COWARD ...ni kitu kibaya sana ..kukosa loyalty ..ni sawa na KIFO ukiwa hai ..jamii zilizostarabika hasa wanaume ..wanakataa kabisa kuwa coward ni bore ufe mara moja kishujaa ukiwa LOYAL kwa imani yako...kuliko kuishi kila dakika ukiwa umekufa kwa kusaliti imani yako.

Tena kwa wenye imani ya KIKRISTO hii ndiyo yakuzingatia zaidi..zinakuja nyakati ngumu na mbaya kwa imani ya dini ya kikristo ambapo ...utajulikana kama wewe ni mkristo kweli ama mkristo jina.

Prosecution ya imani ya kikristo na boblia kuwa banned out kama,kama ilivyokuwa kipindi cha mitume na tinayoyaona huko nigeria.

Ni bora kufia imani yako...hata utupwe katika tanuru la moto ama shimo la simba kuliko kukana imani yako Mungu wako kumkana mwana wa Mungu Yesu ,ukapigia magoti ukaabudu sanamu just to save your skin.

Msaliti akihama CHADEMA akahamia CCM ,waliohama chadema kwenda chauma wakapigwa na njaa wakataka kurudi tena chadema

KANUNI ni ile ile msaliti hafai kuaminika popote hata na familia yake hata mke wake.(msaliti ni mtu mbaya sana hana aibu,haaminiki,hashindwi kufanya maovu yoyote akitumwa na anaowaabudu ,hashindwi kumchomesha yeyote kumuuza yeyote,hana msimamo wowote..

MSALITI NI MTU MBAYA SANA HAFAI POPOTE.
 
msaliti hana heshima (ameshauza heshima yake na utu wake)

mtu anaheshimika kwa imani yake diginity kwa loyalty yake ndio ushujaa...
katika imani...WAFIA DINI tunawaita MASHUJAA WA IMANI.

Hawa mashujaa wote tunaowakumbuka leo hawakuwa wasaliti..hakuna mnara wa kuwakumbuka wasaliti..

Usikubali kuikana imani yako kwa sababu yeyote ile...linda sana imani yako...usiabudu masanamu usiabudu miungu mingine..

usimkane Yesu..shinda vita vya imani ..kama mitume wali linda imani yao..mpaka mwisho walivumilia mateso bila kumkana YESU.
 
Msaliti ni mtu ambaye kwanza kabisa AMESJISALITI MWENYEWE pili amewasaliti JAMII YAKE+WANANCHI WATU WOTE WALIOWEKA IMANI/MATUMAINI YAO KWAKE


ni mtu ambaye ameweza kusaliti MAONO NA MTAZAMO WAKE mwenyewe/imani yake mwenyewe UKWELI WA MOYO WAKE mwenyewe

kwa sababu ya vipande thelathini vya fedha,YUDA UNAMSALITI mwana wa adamu kwa vipande thelathini vya fedha,

UNAUZA UTU WAKO KWA VIPANDE VYA FEDHA,na IMANI YA WANANCHI WAKIYOKUAMINI NA KUIWEKA KWAKO unaiuza imani ya watu wanaokuamini na kukuheshimu kwa vipande vya fedha.

MSALITI YEYOTE HANA AKILI TIMAMU

unafananishaje heshima na utu wako kwa pesa.
 
ndio maana utakuta msaliti akihama kutoka chadema akahamia ccm,..akifika huko badala aseme cccm oyeee...anasema chadema oyee

kwa sababu MOYO wake upo chadema,njaa/tumbo ..lipo ccm
 
yani unasaliti imani halafu unaenda kuwa CHAWA kama lucas mwashambwa..bado unatarajia jamii uliyoisaliti ikuheshimu,..hata waliokununua watakuheshimi vipi mtu anayejiuza toka lini akaheshimika...(malay)
 

Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 27
Back
Top Bottom