GE2025 Usaliti mbaya: Kama si vyama shikizi kuchukua fomu za Urais , CCM isingeliendesha uchaguzi peke yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Usaliti ni kitu kibaya sana. CCM isingeliweza kuenda kwenye uchguzi peke yake kama vyama vya usaliti visingelikuwepo.

CCM haiwezi kusimama peke yake kwenye uchaguzi, hivyo hao wanaojiita wenyeviti wa vyama vya mfukoni, kuna siku will face the wrath of betrayal of democracy from the oppressed!

1. Chama cha MAKINI tarehe 10 Agosti, 2025,

2. The National League for Democracy (NLD) tarehe 10 Agosti, 2025,

3. United Peoples’ Democratic Party (UPDP) tarehe 10 Agosti, 2025

4. African Democratic Alliance Party (ADA – TADEA) tarehe 11 Agosti, 2025.

5. Union for Multiparty Democracy (UMD) tarehe 11 Agosti, 2025,

6. Tanzania Labour Party (TLP) tarehe 11 Agosti, 2025,

7. Chama Cha Kijamii (CCK), tarehe 12 Agosti, 2025,

8. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), tarehe 12 Agosti, 2025,

9. Alliance for Democratic Change (ADC), tarehe 12 Agosti, 2025,

10. Democratic Party (DP) tarehe 13 Agosti, 2025

11. National Convention for Construction and Reform (NCCR – MAGEUZI) tarehe 15 Agosti, 2025.
 
Njaa zao ni mzigo kwa democracy.

Watawala wanaijua vizuri ile technique ya divide and rule aliyotumia mkoloni zama zile. Wanafanya utambuzi wa wenye njaa haraka sana na kuwaahidi kipande cha mkate kama wakikubali kushiriki kwenye igizo.
 
Na tarehe 29 oktaba tunaandaman sijui polisi watazuaia maandamano na mikusanyiko ili tusipige kura ila za ndan TEC watatoa waraka jumapili ya mwisho kuelekea uchaguzi nimejaribu kudadisi nimeambiwa nisubiri
 
Madalali akina ZZK ndio yanayofanya mabadiliko yachelewe
 
Usaliti ni kitu kibaya sana. CCM isingeliweza kuenda kwenye uchguzi peke yake kama vyama vya usaliti visingelikuwepo.

CCM haiwezi kusimama peke yake kwenye uchaguzi, hivyo hao wanaojiita wenyeviti wa vyama vya mfukoni, kuna siku will face the wrath of betrayal of democracy from the oppressed!

1. Chama cha MAKINI tarehe 10 Agosti, 2025,

2. The National League for Democracy (NLD) tarehe 10 Agosti, 2025,

3. United Peoples’ Democratic Party (UPDP) tarehe 10 Agosti, 2025

4. African Democratic Alliance Party (ADA – TADEA) tarehe 11 Agosti, 2025.

5. Union for Multiparty Democracy (UMD) tarehe 11 Agosti, 2025,

6. Tanzania Labour Party (TLP) tarehe 11 Agosti, 2025,

7. Chama Cha Kijamii (CCK), tarehe 12 Agosti, 2025,

8. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), tarehe 12 Agosti, 2025,

9. Alliance for Democratic Change (ADC), tarehe 12 Agosti, 2025,

10. Democratic Party (DP) tarehe 13 Agosti, 2025

11. National Convention for Construction and Reform (NCCR – MAGEUZI) tarehe 15 Agosti, 2025.
Hata aibu hawana. Eti vyama 18 vimesimamisha wagombea wa Urais. Shame on them!!!!
 
CCM imeandaa hivyo Vyama Kwa ajiri ya Hilo, kipindi hiki ndiyo hivyo Vyama vinapiga pesa Toka CCM.

Hivyo Vyama hata hata visipofanya Uchaguzi wa ndani hakuna tatizo Uchaguzi Mkuu ukifika Vitashiriki Uchaguzi bila kelele Toka Tume.
 
Km mamako hajaona aibu kuzaa taahira km wewe vyama halali vione aibu ya nini. Nani mpumbavu atawaelewa nyumbu km nyie, kwisha hbr yenu mnaenda kufutwa
Hili ndo tatizo la jukwaa kuvamiwa na *******. Ndiyo maana mnafilwa sababu ya njaa zenu.
 
Demokrasia sio njia sahihi ya kupata viongozi kwenye jamii yenye kiwango kikubwa cha umasikini na ukosefu wa elimu.
 
Back
Top Bottom