The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wanaotetea nchi yao wanaitwa majina, wachochezi, waliohongwa, wanaotumiwa na mabeberu, wahaini na kadhalika. Ajabu wanaiibiana kuiuza nchi wanajiita wazalendo,walinzi wa amani, na majina mengine mengi mazuri.
Walioko nje wakilalamika wanaitwa mawakala wa mabwana zao.
Serikali zikiishi kwa kutegemea fedha za mikopo na misaada toka kwa hao hao wanaoitwa mabwana wa wengine haziitwi nyumba ndogo ya mabwana. hawa.
Haya mambo yanachanganya.
Mwenye welewa anisaidia anifumbue mato.