Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Wivuu.umewajaaaaaa fanyenii yenuu kha
wanaumeee fanyenii yenuu na familiaa zenuu khaa pigenikazii mkitaka njooni na nyie mvalishwe....mpewe hizoohelaa mnazotakaa
NeWewe ni ke??mbona vichambo shost?
Mlinyimwa mgaoo ninii mnamachunguuWewe ni ke??mbona vichambo shost?
Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa
Ulikuwepo,tatzo nini,maana kakuzidi wewe vuvuzela wa jf,mwenzio mkono wa Wenda kinywani
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga kutoka kuwa diwan hadi kata,alikua mwenyekiti wa vikao vyote vya kata akiwa diwani hata hvyo issue ni je alichozawadiwa kinafanana na mhanga wa kusaliti wananchi waliomchagua?Hv unajua mshahara wa WEO hata mwalimu wa shahada anamzidiAwajuiii mabwegeee waupinzanii
Siku wakitembelea kata yake wanaenda kumtumbua,Kwisha habari. Mshahara wa mtu kigeugeu,unaunga mkono juhudi ya maangamizi ya wakosoaji?Jamaa wamemuona 'So Cheap'
Njaa hizi.
Kutoka Udiwani, Mgombea Ubunge mpaka kuwa Mtendaji Wa Kata, Mshahara Tsh 400,000 ?
Mkuu njaaa tabu sana,usimuone hata huyo Mbowe kupayuka payuka majukwaani ni sababu ya njaa zakeKwani kabla ya hiyo nafasi mkono ulikuwa hauendi kinywani? Kwa hiyo kumbe kuhama kote tatizo lilikuwa ni mkono kwenda kinywani na sio kutumikia wananchi?
Mkuu njaaa tabu sana,usimuone hata huyo Mbowe kupayuka payuka majukwaani ni sababu ya njaa zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unateuliwa?Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa