Huo mshahara ataenda nao mpaka astahafu,ni sehemu sahihi sana alipo kuliko mambo ya siasa.Jamaa wamemuona 'So Cheap'
Njaa hizi.
Kutoka Udiwani, Mgombea Ubunge mpaka kuwa Mtendaji Wa Kata, Mshahara Tsh 400,000 ?
AiseeHuo mshahara ataenda nao mpaka astahafu,ni sehemu sahihi sana alipo kuliko mambo ya siasa.
macson
akikujibu nistueKwani kabla ya hiyo nafasi mkono ulikuwa hauendi kinywani? Kwa hiyo kumbe kuhama kote tatizo lilikuwa ni mkono kwenda kinywani na sio kutumikia wananchi?
unaacha udiwani uliokuvuta kwenye ubunge ili uwe mtendaji kata !Huo mshahara ataenda nao mpaka astahafu,ni sehemu sahihi sana alipo kuliko mambo ya siasa.
macson
Sasa nyie Masikini wengine ambao mmepambana miaka yote kutetea ccm mbona mmetupwa wanachukuliwa wasaliti ?Awajuiii mabwegeee waupinzanii
Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa
Mkuu P.diddy naona unajifunza kuandika kwa nguvu sana japo bado naona hujawa vizuri,Ss hv maherufi makubwa angalau umeanza kuyaacha ila sasa naona shida imebaki baadhi ya maneno hujui kuyaandika,Hujui vituo yaani unaandika utadhani mtoto wa la kwanza.Awajuiii mabwegeee waupinzanii
Chakubanga kachikichia M45 dadeqView attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu !
Kwani ndogo?Aliahidiwa kununuliwa kwa 50mil akaishia kupewa mil5 !
Yale mapori yenye banyamulengeAnapewa na pikipiki Aina ya YAMAHA kwa ajiri ya kukatiza vijiji na mapori.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna cha kulinganishia, ni kubwa, ila kama unalinganisha na aliyoahidiwa, ni ndogo, yaani only 5% ya alichoahidiwa