Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti


Safi kijanaa I have family to lead
Na ma words
 
Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa
Kiutaratibu hapo ni kuwa hiyo nafasi imetolewa kirushwa. Hivyo basi ni wakati muafaka TAKUKURU kufanya kazi yao bila ya kusubiri maelekezo kutoka kwa mtu. Otherwise, TAKUKURU litabakia kuwa ni tawi tu la CCM kama ilivyo kwa UVCCM, POLISI, Tume ya Taifa ya uchaguzi, Bunge na mengine kama haya.
 
Jamaa wamemuona 'So Cheap'

Njaa hizi.

Kutoka Udiwani, Mgombea Ubunge mpaka kuwa Mtendaji Wa Kata, Mshahara Tsh 400,000 ?
sio ndogo anauhakika wa kuipata kwa zaidi ya miaka 30 na pia anaweza kupanda cheo achilia mbali anauhakika wa kumiliki ardhi na kuitumia bado hatujajumlisha rushwa na mihamala ya wana kijiji kwa kusuruhisha kesi hivyo akijipanga yuko salama zaidi.
 
Elia ana BaEd, Med, uWEO atalipwa baada ya makato yote zaidi ya 450,000 ambazo kwenye udiwani alikuwa hafiki.


kwenye uweo hatatoa hela yake mgukoni ili kufurahisha wapiga kura...



ndani ya miaka mitano ijayo atasimamia uchaguzi(atapata pesa nzuri vs diwani atatumia hela kupata udiwani), sensa Nk
 
Atafanya jambo la hovyo hovyo aonekane halafu atapandishwa na kuwa Afisa Tarafa badae DAS ...usaliti pia una mambo yake
.akienda kudai ataambiwa siku akistaafu atapewa kiinua mgongo milioni 60...hapo atakuwa atakuwa amekatwa mapanga na wananchi ya kutosha tuu..
 
Mara paap katibu tarafa paaap mkuu wa wilaya kinondoni tunaanza sumbuana nae humu mjini vetting ya kaz za GoT siku hz hasa za uteuzi si za kumcheka mtu ana wadhifa gani leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…