Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

shosti kwani we mgeni JF ? 🀣 mbona ishu ya Mariposa inafahamika JF
Sikufatilia nikajua kabadilisha babe 😹
Haya nawe mbona adimu sana umefichwa na nani?? 😜
 
Ahsante dear,
Nitajie baadhi nizicheki weekend hii please
Zipo nyingi dear, hizi ni baadhi
  • When the Bough Breaks (2016)
  • Obsessed (2009)
  • The Boy Next Door (2015)
  • The Perfect Guy (2015)
  • Unlawful Entry (1992)
  • The Intruder (2019)
  • Enough (2002)
  • The Stepfather (2009)
  • Swimfan (2002)
  • Cape Fear (1991)
  • The Hand That Rocks the Cradle (1992)
  • Fatal Attraction (1987)
  • Single White Female (1992)
  • Misery (1990)
  • The Gift (2015)
  • Sleeping with the Enemy (1991)
  • You (Netflix Series)
  • Fatal Affair
 
Ndo Hali halisi japo hatuukubali uhalisia Ila dunia ipo kwenye nguvu kubwa ya ushoga huku wengine wakiwa chini ya miamvuli ili kulinda status zao lakn hamna kitu
Na hii inatokana na ushawishi wa watu maarufu na pesa,
Maandiko hayakukosea kuwa ngamia atapenya tundu kiurahisi sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ hali mbaya shoga angu nipo busy na kitabu na ushangazi huu πŸ˜‚πŸ˜‚, kuna uzi wangu kule jukwaa la science&tech
Na ushangazi huo bado unasoma, utadisco ohh watoto wakucheke 😹😹
 
πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
Aki nimecheka sana
 
Na hawajai kukuliza kuhusu kuolewa?
 
Bila kua na ushahidi wa picha/video au huyo afisa mwenyewe kuthibitisha basi ni dhahiri bwanamdogo ulinyonywa kinyeo.

Poor Brain hiyo mishangazi yako haina fantasy za ajabu kama za huyu afisa wa kijana wetu hapa??
 
Na hii inatokana na ushawishi wa watu maarufu na pesa,
Maandiko hayakukosea kuwa ngamia atapenya tundu kiurahisi sana
Yaaan sisi tunawasingizia wazungu

Labda sana wale wanataka kuwe na haki kwa mashoga, ziundwe Sheria za kuwalinda km ilivyo ndoa, au taasisi nyinginezo.......

Wanavyotoa funding kupitia NGO's zao lakini hata kama......

Sio njia ya kukufanya uwe na tabia za ubasha au za kuliwa....... Ukifikia huko ni hisia zako sasa
 
OMG! 🫒, hiyo YOU alikua anaifatilia sana, nakumbuka alikua ananishawishi niifatilie, tuliangalia tukiwa wote akawa ananielekeza elekeza siku ipenda nikamwambia sio aina zangu za movies hizo,
Hii The Perfect Guy ndio haswaaa imeakisi uhalisia wa Lily, eti leo ndio naielewa vizuri hiyo movie, doh!
The boy next door nimeiona ila siikumbuki vizuri, nitairudia tena,
Obsessed trailer tu sikuipenda nayo itabidi niiangalie kiufupi nitazicheki zote nione vituko vya hao Pycho na wenzangu waliwahandle vipi.

Thanks dearπŸ₯°
 
Ulivyo andamwa kwenye huu Uzi wa mariposa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…