Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Subhanallah! Mkasa wako unatetemesha, mie nawashauri tu sio michepuko hata watu mnaoingia nao kwenye mahusiano ni kumuomba sana Mungu au hata vipimo vya akili mfanye ikibidi, kuna movie yaitwa ACRIMONY itizame pia,
Pole dear.
Shukrani dear, ushauri wa kupima akili ni mzuri kwa hakika tunaingia kwenye matatizo kwa kudate na vichaa
 
Screenshot_2016-12-28-22-24-08_1.jpg
 
Lily ana balaa 😹😹
Ila wakina Lily wengi wasagaji sijui kwann??
Kuna Lily mmoja room mate wangu alikuwa na tabia za hovyo nilikuwa nikitoka kuoga anatulia anipige wezere likiwa kwenye khanga ilioshikana na maji basi anafurahi mwenyewe 🤣

Na mimi nilivyo na masihara namtingishia namwambia ongeza kibao kingine 🤣
Basi anajisonya huku anasikitika

Una kanamba kake, nakaomba inbox
 
Mwanzo nilikuwa sielewi comment za watu kuhusu mambo ya upinde ila sehemu ya mwisho ya story ndio nimeelewa
 
Back
Top Bottom