Someni ili mjifunze, kwa maana kuna elimu kama wale walio ndani ya mfumo hawataamua kutoka hadhalani na kuamua kuitoa hamtakaa muijue hadi mnakufa, sana sana mtabaki kuotea otea tu, kwamba labda inakuaga hivi au inakuaga vile.
So, mods mngeuacha tu huu uzi kwa sababu kwanza muandishi hakuna sehemu ametaja neno mapenzi ya jinsia moja ila ni watu wamejiongeza kwasababu ID yake ni maarufu ila ingekua ni ID mpya hakuna mtu angejua kama hii story inawahusu watu wa jinsia moja.
Lakini pili, inafungua mambo mengi ambayo labda wazazi wengi wenye watoto wakike hawakuwa wanayajua na badala yake walikua wanaweka sana umakini kwa vijana wa kiume huku upande huu mwingine ukipuunzwa so kupitia hizi codes zilizomo ndani ya simulizi hii nadhani kuna wazazi watajifunza jambo na kuangalia namna ya kuwalinda mabinti zao.
Mfano hapo kwenye background ya Lily, utaona kabisa kwamba mambo haya kuna wakati huwa wazazi ndio usababisha yatokee pasipo wao kujua.
Kuna umuhimu wa kuwaambia watoto wenu jinsia zao na majukumu ya jinsia zao ila pia wajue kuziheshimu hizo jinsia zao kabla watu wengine wahaja wafunza namna tofauti.
Anyway, but mtu na mumewe wote wanaenda mwezini, sasa huwa anaanza nani na anafuata nani hayo tumuachie ndugu daktari, sisi tuendelee kufuatilia hii story mujaaarabu😅😅😅.