Usaliti wa mapenzi unaumiza sana ๐Ÿฅน

Tuagize

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
287
Reaction score
716
Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu

Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,

Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile

Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake ๐Ÿฅบ

Hakika Mapenzi yameniumiza sana ๐Ÿฅน
 
ni muhimu sana kuchukua tahadhari, kua makini, wastahilivu na wenye subra tunapokumbana na changamoto za kawaida kama hizo zisizozoeleka kwenye mapenzi.
Ni muhimu sana aise ๐Ÿ’
 
Hizi habari za kukaa na kuanza kujiuliza sijui ulikosea wapi unaweza kujikuta unajihukumu kwa makosa ambayo siyo ya kwako, cheaters always find reasons, but reasons are not excuses.
 
Pole sana, najua kusalitiwa na umpendae ni maumivu makubwa sana lakini usikate tamaa songa mbele ipo siku utampata aliye sahihi kwako kwa wakati sahihi na hakika utayafurahia mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ