Unataka kumua nasema mm naijua pochi manyoya la bibi linabalaa huwezi Acha kulila ukianza ,waliokataza vijana wasioe mishangaz waliona hio sumuAsante kwa kunifungukua code mkuu, kuna dogo nilikuwa namnyali sana subiri hebu!🤔
Ukitaka kuacha unaona kama hivi nitapata wapi tupu tamu kama hii ,yan huelewi sasa akunyime ndo unachanganyikiwa unaweza kuomba ufanye jambo lolote swala ule ila wanawake wabaya sanaukionja tu huachii
Noma sanaUkitaka kuacha unaona kama hivi nitapata wapi tupu tamu kama hii ,yan huelewi sasa akunyime ndo unachanganyikiwa unaweza kuomba ufanye jambo lolote swala ule ila wanawake wabaya sana
Pole sana, kaza roho umwacheUsaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu
Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,
Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile
Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake 🥺
Hakika Mapenzi yameniumiza sana 🥹
Bado upo nalo lile lishangazi?
Kwa wageni, mtoa mada alipigwa tukio soma hapa: Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti
Asante Kaka Yangu 🫂Pole sana, kaza roho umwache
Asante kwa kuendelea kufunguka!🤣Unataka kumua nasema mm naijua pochi manyoya la bibi linabalaa huwezi Acha kulila ukianza ,waliokataza vijana wasioe mishangaz waliona hio sumu
Njia nyepesi ya ku move on, fanya tafuta wanawake wengine hata wa tatu.Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu
Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,
Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile
Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake 🥺
Hakika Mapenzi yameniumiza sana 🥹
tupu tamu au KUMAA TAMU?Ukitaka kuacha unaona kama hivi nitapata wapi tupu tamu kama hii ,yan huelewi sasa akunyime ndo unachanganyikiwa unaweza kuomba ufanye jambo lolote swala ule ila wanawake wabaya sana
Seran eti ni tupu au maku?tupu tamu au KUMAA TAMU?
Nasemaje, sio tupu tamu, ni KUMAA TAMU.
ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Cc: secretarybird Mbaga Jr cocastic
Asante kaka kwa ushauri mzuri, lakini mimi ni mtu ambae nikimpenda mtu nampenda kweli kweli sinaga uongo katika mapenzi, naogopa kuingia katika pombe pengine nikiingia huko naweza kuingia mazima 🥹Njia nyepesi ya ku move on, fanya tafuta wanawake wengine hata wa tatu.
Date nao hakikisha mnachati sana wawe wanawake wasio na vizinga tafuta kama church lady au wasio na mambo mengi after few months lazima utakua ukimuwaza huyo ex huna hamu nae.
Move onUsaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu
Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,
Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile
Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake 🥺
Hakika Mapenzi yameniumiza sana 🥹
😂😂😂😂😂😂Nimesoma nimeumia😫
Umeshasoma tayari Seran😅Nimesoma nimeumia😫
Kuwa na wapenzi wengi wala sio ujanja kaka, uaminifu katika mapenzi ndio nguzo ya msingi, uwe na wapenzi wengi ili iweje kaka yanguUlikuwa huna wapenzi wa ziada uende huko,maana hii ya kumlilia mtu afu umekaa hapohapo unaonekana ndezi sasa.