Utaambulia magonjwa tu,we nenda Tution mpende mwalimu na hesabu zake anazokufundishaHapo kwenye Kumove on kaka ndo ninapoteseka, kuna muda nasema au awe mwanamke wangu wa kujiridhishanae tu kwamba ninapokuwa na hamu ya kufanya mapenzi
Nikwambie kitu..Mapenzi hayana ushauri mkuu kasome vitabu hivi
We only just began a guide toward successful courtship
The way superior man think
Jibidishe wewe kama ww
Inasikitisha sana mkuutupu tamu au KUMAA TAMU?
Nasemaje, sio tupu tamu, ni KUMAA TAMU.
ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Cc: secretarybird Mbaga Jr cocastic
AiseeNikwambie kitu..
Niliyo pitia Mimi katika prime age,kuwa hai Leo ni ushuhuda wa kweli..
Ushawai kuto kula siku nne, siku ya NNE NIKAPAKUA CHAKULA KINGI NA SAMAKI NA
TONGEE nikachanika kooni mpaka tonge kufika tumboni ikawa issue nikashindwa kula nikawa nakunywa kwa mlija juice mpaka koo kupona mzee Kuna MENGII ACHA.
Baadae kama miezi sita nikapona sijawai msamehe yule dada mpaka Leo hii
Now ni miaka mingi IMEPITA after nikawa HEARTLESS now Nina familia ila sijawai tena kumpenda mtu mwanamke kama yule sijawai babaishwaga na mtu aitwaye MWANAMKE
mbaga njoo boboInasikitisha sana mkuu
Karibumbaga njoo bobo
Ivii Kuna mtu alie nyooka na good behaved kama Mimi.Asante kaka kwa ushauri mzuri, lakini mimi ni mtu ambae nikimpenda mtu nampenda kweli kweli sinaga uongo katika mapenzi, naogopa kuingia katika pombe pengine nikiingia huko naweza kuingia mazima π₯Ή
Ah weee, mi siwezi kujichana koromeo kisa mbunye weweee, chips zilivyo tamu famchezo nini!Nikwambie kitu..
Niliyo pitia Mimi katika prime age,kuwa hai Leo ni ushuhuda wa kweli..
Ushawai kuto kula siku nne, siku ya NNE NIKAPAKUA CHAKULA KINGI NA SAMAKI NA
TONGEE nikachanika kooni mpaka tonge kufika tumboni ikawa issue nikashindwa kula nikawa nakunywa kwa mlija juice mpaka koo kupona mzee Kuna MENGII ACHA.
Baadae kama miezi sita nikapona sijawai msamehe yule dada mpaka Leo hii
Now ni miaka mingi IMEPITA after nikawa HEARTLESS now Nina familia ila sijawai tena kumpenda mtu mwanamke kama yule sijawai babaishwaga na mtu aitwaye MWANAMKE
Mimi baada ya kuachwa na yule dada...mwanamke ambae nilitamani nimuone kwenye maisha yangu siku zoteee.Aisee
Nilikua mdogo, zamani miaka 20 iliyopitaaAh weee, mi siwezi kujichana koromeo kisa mbunye weweee, chips zilivyo tamu famchezo nini!
Hivi kweli nisile kuku kabisa kwa ajili ya mapenzi? niache vipapatio? niache firigisi? niache wali nazi? niache sotojo la ndizi maini? khaaa WE KUWEZA? Unajidekeza tu ukikua utaacha.
Hivi umewahi kutoa mbwa bandani? Huu ni UJINGA.
Msosi mtamu wewe.
Cc: secretarybird Mbaga Jr
Kaka mapenzi hayashauriki,Wakuu ,ushauri wakusema aongeze wanawake nawambia hawezi kabsa niko hapa ,iko hivi kwa maelekzo yake ni mtu anaependa sehemu moja Kiasili hawana tabia ya kuchanganya ,tafakuri mkuu usije jichanganya juu ya hilo kwa utulivu wake atumie muda asome vitabu hivyo hapo niimeandik
Vitabu hivyo vitamuondolea udhaifu
Vitamfungua ajue afanye nn
Hauwezi shauri penzi la mwenzako hayafanani ukianza na unaetoa ushauri hauwezi fanana tabia za asili ,na hata anaetaka akautumie ushauri hafanani na kipimo cha wako
Maan unaweza sema weka wanawake wengi kumbe ,na mwanamke wake akasema namm nafanya nimkomoe huku wako aliacha na akatuliaa mpeni mbinu za kutatua shida yake sio ushauri wakuuu hilo nawaomba
Sio tabia yake itakua kazi mkuu tumuombeeK
Kaka mapenzi hayashauriki,
Wewe jamaa ili a move on anatakiwa aufanye moyo wake uwe COMPLICATED
ATAFUTE WANAWAKE WENGI A DATE NOW SIO LAZIMA SEX
YEYE AANZISHE DATE NA WANAWAKE WENGI WENGINE ILEWA MAANA YA DETE SIO SEXUAL
Mimi sijaona mwanamke wa kuushitua moyoSio tabia yake itakua kazi mkuu tumuombee
Mzee wa Masijala ndogo ya Jukwaa la Mahusiano unaupiga mwingiBado upo nalo lile lishangazi?
Kwa wageni, mtoa mada alipigwa tukio soma hapa: Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti
Mkuu unacheka? Inasikitisha unajua! Au haujamsoma mleta mada?ππππππ