Usaliti wenye ulazima

Shikilia hapo hapo mkuu.
 
Kuna siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita (mtaani kwao) mbele yetu kulikuwa na kijiwe cha boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
 
Achana na huyo mwanamke
 
Mkuu unakimeo hicho piga chini nakuhakikishia jaffar akikomaa anakula mzigo
 
Jando lirudi tu kwakweli.
 
Ss mbona unatafuta maneno mengine tena ambayo yanazidi kukuumiza?
Uwifi mara na jafari!
Vipi huwezi kumuacha?.
 
Ss mbona unatafuta maneno mengine tena ambayo yanazidi kukuumiza?
Uwifi mara na jafari!
Vipi huwezi kumuacha?.
sio natafuta haya yanatokea tu mfano yeye hakujua najua stori ya Jafari akadai ni bro wa kitaa amsalimie. lakini huyu binti katika stori alishawahi nisimulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…